Mpanda FM

MAENDELEO

27 May 2025, 4:03 pm

Maonesho ya biashara na viwanda yakuza uchumi Kilolo

Maonesho ya Biashara na Viwanda yaliyofanyika Wilaya ya Kilolo yameonesha kuwaleta pamoja wadau mbalimbali wa sekta hizo ili kukuza soko. Na Joyce Buganda Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, Mhe. Rebecca Nsemwa Sanga amewapongeza chemba ya biashara viwanda na Kilimo TCCIA…

Dkt. Juma Homera – akikagua mabanda

26 May 2025, 12:43

Maonesho ya biashara, viwanda na kilimo yafana Mbeya

Dkt Juma Homera. Picha na Samwel Mpogole Mkuu wa Mkoa amewataka wananchi kushiriki maonesho ili waweze kunufaika na fursa lukuki. Na Samwel Mpogole. Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA) Mkoa wa Mbeya imeandaa maonesho makubwa ya kibiashara yaliyoanza Mei…

23 May 2025, 7:18 pm

Mashirikiano ndiyo nguzo ya kufanikisha malengo ya serikali

Wilaya ya Kati. Kuwepo kwa mashirikiano mazuri katika Taasisi za Umma ni chachu ya kufika malengo waliojiekea katika kuwaletea maendeleo Wananchi.Mkuu wa Wilaya ya Kati Cassian Gallos Nyimbo ameyasema hayo wakati wa makabidhiano ya Ofisi kwa mkurugenzi mpya w Baraza…

22 May 2025, 4:05 pm

Sheria ya habari Zanzibar, sauti zapazwa kwa mabadiliko

Na Is-haka Mohammed Pemba Sheria ya Tume ya Utangazaji Zanzibar sasa inafikia miaka 26 tokea kuanzishwa kwake ambayo ni Sheria nambari 7 ya mwaka 1997, pamoja na majumuisho na marekebisho yake na. 1 ya mwaka 2010.Sheria hii, imetungwa mahsusi kusimamia…

May 21, 2025, 2:23 pm

‘Ufugaji wa nyuki una faida’

Picha ya Afisa ufugaji wa nyuki Halmashauri ya wilaya ya Babati, Fabian Mandas Imeelezwa kuwa ufugaji wa nyuki ni muhimu katika mazingira yetu na kwa binadamu kwa ujumla kwani ni chanzo cha tiba pia. Na Kudrat Massaga Jamii imetakiwa kujifunza…

19 May 2025, 4:05 pm

Wabunge watembelea bandari ya Karema

‘serikali imejipanga kuifanya bandari ya Karema kuwa kitovu cha biashara‘ Na betord Chove -Katavi Wabunge kutoka mikoa ya Katavi, Rukwa na Kigoma, ambayo inapakana na Ziwa Tanganyika, Wametembelea bandari ya Karema, kwa lengo la kujionea maendeleo ya ujenzi wa bandari…

19 May 2025, 3:30 pm

Uharibifu wa makazi ya watu wamuibua DC Jamila

‘Miche hiyo itasaidia kupunguza ukame na madhara mengine yanayotokana na uharibifu wa mazingira ‘ Na Ban Gadau -Katavi Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph Kimaro amegawa miche ya miti zaidi ya laki moja kwa wakazi wa Kijiji cha mbugani…