Mpanda FM

MAENDELEO

19 August 2025, 16:53

MUHAS kuongeza chachu ya utafiti na matibabu Kigoma

Ujenzi wa chuo kikuu cha afya na Sayansi shirikishi MUHAS kampasi ya Kigoma unatajwa kuongeza tafiti na matibabu kwa kwa wananchi wa mkoa wa Kigoma na maeneo mengine. Na Mwandishi wetu Serikali ya Mkoa wa Kigoma imesema kukamilila kwa ujenzi…

17 August 2025, 1:48 pm

Bil. 20 kuinua maisha ya watu wenye ulemavu kupitia CADiR

Mradi CADiR unaratibiwa na Norwegian Association of Disabled (NAD) kama taasisi kiongozi, ukihusisha mashirika ya Norway.Mradi huo unatarajiwa kuzinduziliwa rasmi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman, tarehe 20 Agosti 2025 katika…

15 August 2025, 4:44 pm

Dakika 3 tu kituoni, agizo la RC kwa madereva wa daladala

Na Mary Julius. Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustafa, amewataka madereva wa daladala kuzingatia matumizi sahihi ya vituo vipya vya kushushia na kupakia abiria, kwa kuhakikisha hawazidi dakika tatu katika kila kituo, ili kuepuka msongamano wa magari…

6 August 2025, 13:18

Watoto wasionyonya maziwa ya mama hatarini

Akina mama wametakiwa kuhakikisha wanawanyonyesha watoto maziwa ya mama ili waweze kupata virutubisho Na Josephine Kiravu Imeelezwa kuwa viwango vya unyonyeshaji wa maziwa ya mama nchini Tanzania vinaendelea kuimarika, huku asilimia ya watoto wanaonyonyeshwa maziwa ya mama pekee ikiongezeka kutoka…

5 August 2025, 9:26 am

Wafugaji wa kuku walalamikia gharama za chakula

Wafugaji wametakiwa kujielimisha zaidi ili kupunguza hasara na kuhakikisha ubora wa kuku wanaowafuga. Na Hafidh Ally Wananchi Mkoani Iringa, wanaojihusisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji na wa kisasa, wameeleza kilio chao kuhusu kupanda kwa gharama za chakula cha kuku…

30 July 2025, 17:17

Kyela:Tusegelile wawafikia walemavu Kyela Msingi

“tusiwafiche nyumbani watoto wenye ulemavu,wakifundishwa wanaweza kufanya kwa utimamu” Na James Mwakyembe Kikundi cha watu wa Rungwe waishio Kyela Tusegelile Group wametembelea na kutoa misaada ya kiutu kwa watoto wenye uhitaji maalumu katika shule ya msingi kyela, ili kuwafariji na…