Keifo FM

uchumi

18 December 2025, 4:56 pm

NIDA yawataka Wananchi Manyara kusahihisha taarifa zao

Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kufika katika ofisi za Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili kufanya mabadiliko na kusahihisha taarifa zao za awali ambazo sio sahihi katika Vitambulisho vyao vya taifa NIDA. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa leo na…

November 28, 2025, 12:05 am

Zimamoto: Majanga ya radi si ushirikina

Watumishi wa Halimashauri ya Mji Kasulu wamepewa elimu ya kujikinga na majanga ya moto pamoja na mbinu za kutumia vifaa vya uokozi ikiwemo vizima moto pamoja na hatua za kuchukuwa pale wanapofikwa na majanga katika maenoe yao ya kazi. Na;…

17 October 2025, 7:46 pm

Fountain Gate waanza na Mungu

Na Joel Headman Ndivyo unavyoweza kusema baada ya ushindi wa bao 1 la dakika za jioni walilolipata Fountain Gate dhidi ya Dodoma jiji jioni ya leo Mchezo huo wa ligi kuu uliopigwa kwenye dimba la Tanzanite Kwaraa umeshuhudia kandanda safi…

10 October 2025, 08:05

Dkt. Nchimbi kufanya ziara ya kampeni Kigoma

Mgombea Mwenza wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kinyang’anyiro cha Urais wa Tanzania katika mwaka huu kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt.Balozi Emmanuel John Nchimbi anatarajiwa kufanya ziara ya siku mbili ya kampeni Mkoani Kigoma kuanzia Kigoma Oktoba 12 na 13.…

October 3, 2025, 6:39 pm

Viongozi wa CDEA walifika Butiama

Uongozi wa CDEA kutoka Dar es salaam umetua Butiama ukiongozwa na Mkurugenzi wa Culture Development East Africa CDEA Ayeta Ane Wangusa kwa ajili ya kukutana na kufanya mkutano na wadau wa butiama juu ya maendeleo ya radio butiama uliofanyika leo…

30 September 2025, 11:58 am

Medali zaidi zinakuja-Simbu

“Tuendelee kuwa Pamoja tushikamane tushirikiane tupendane na tuweze kusonga mbele” Na Joel Headman Bingwa wa dunia wa marathoni Mtanzania Alphonce Simbu baada ya mapokezi ya kishindo jiji Arusha ameahidi kupambana na kutafuta medali nyingine kwa ajili ya kulitangaza zaidi taifa…

24 September 2025, 3:04 pm

Mkude “Changamkieni fursa AFCON”

Na Daudi Peter Mkuu wa Wilaya ya Arusha Joseph Mkude amewataka wananchi kuwa tayari na kujiandaa kuchangamkia fursa mbalimbali zitakazoletwa na mashindano ya AFCON yanayotarajiwa kufanyika mwaka 2027 Akizungumza na Triple A Mkude amesema kuwa michuano hiyo imefungua fursa kwa…

20 September 2025, 8:37 pm

Wanawake sasa wanachimba madini kitaalam Geita

Serikali imenunua mitambo 15 kwa ajili ya wachimbaji wadogo na itaendelea kuwaunga mkono kila hatua Na Mrisho Sadick: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa leseni 17 na vifaa vya kisasa vya uchimbaji wa madini…