Recent posts
November 1, 2021, 2:07 pm
NUKTA AFRICA:Waandishi wa wa habari za mitandaoni andikeni habari zenye tija.
DAR ES SALAAM Waandishi wa habari za mitandao wametakiwa kuandika habari zenye ubora ikiwa ni pamoja na kutumia takwimu za uhakika ili kutoa taarifa sahihi kwa wasomaji na kuacha tabia ya kuangalia idadi ya wasomaji na watu waliotembelea mitandao yao.…
October 31, 2021, 4:38 pm
KAHAMA:RUWASA YAKUTANA NA WADAU WA MAJI NA VYOMBO VYA WATOA HUDUMA ZA MAJI;
Wananchi wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuendelea kutumia maji yanayotokana na vyanzo vya uhakika vilivyothibitishwa kwa ubora na RUWASA ili yawe salama katika afya zao pamoja na kuwataka viongozi kuendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maji kwa wakati. Hayo yamesemwa na…
October 31, 2021, 4:25 pm
KAHAMA:RUWASA YATAKIWA KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI MBALIMBALI KWA WAKATI.
Wakala ya Usambazaji Maji na Usafi na Mazingira Vijijini (RUWASA) wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maji ili kila mwananchi apate maji pamoja na kuanza ujenzi wa usambazaji wa maji pindi wanapopata fedha za miradi. Agizo…
October 24, 2021, 11:02 am
DODOMA:Job Ndugai azionya Asasi kuacha kutumika kuchafua nchi.
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, amefungua rasmi wiki ya Asasi za kiraia (AZAKI) Jijini Dodoma na kuzionya baadhi ya asasi kuacha kutumika kuchafua nchi.Uzinduzi wa wiki hiyo ya Asasi za kiraia umefanyika katika viwanja…
October 24, 2021, 10:55 am
SIMIYU:Mama adaiwa kuwachinja watoto wake wawili kisha naye kujiua.
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Mwanamke mmoja mkazi wa Lalago wilaya ya Maswa mkoani Simiyu amedaiwa kuwaua watoto wake wawili kwa kuwachinja na kisu, kisha na yeye kujiua. Akizungumza leo Ijumaa Oktoba 22,2021 na waandishi wa Habari ofisini kwake, Kamanda…
October 12, 2021, 11:01 am
KAHAMA:Makamu wa Rais wa CODEPATA atembelea ofisi ya Maendeleo ya jamii.
Makamu wa Rais wa Chama Cha Wataalamu wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (CODEPATA) Dr. Regina Malima ametembelea ofisi za Idara ya Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Kahama wilayani Kahama Mkoani Shinyanga. Katika ziara yake amefanikiwa kufanya kikao na Mratibu wa Kanda…
October 10, 2021, 1:53 pm
Kahama Jogging yajipanga kuwakabili Shinyanga Jogging Jumapili Oct 17.
Kuelekea Mashindano ya Michezo mbalimbali itakayofanyika uwanja wa Manispaa Kahama Jumapili ya October 17 club ya ya mazoezi ya Kahama Jogging imeanza maandalizi ya kuwakabili Club ya Michezo kutoka Shinyanga itwayo Shinyanga Jogging. Akioongea na Kahama Fm mara baada ya…
October 2, 2021, 2:34 pm
Kahama:wakurugenzi kusimamia mabaraza ya wazee.
Serikali mkoani Shinyanga imewaagiza wakurugenzi wa halmashauri zote sita kuhakikisha wanasimamia na kuyawezesha mabaraza ya wazee ili yaweze kufanya kazi kikamilifu pamoja na kutenga fedha kwa ajili ya utekelezaji wa shuguli za wazee. Agizo hilo limetolewa na mkuu wa mkoa…
September 28, 2021, 11:59 am
RUKWA:Mbunge awataka wanawake kutokuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume wasi…
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma, Jaqueline Msongozi amewataka wanawake nchini kutokubali kuwa na mahusiano ya kingono na wanaume ambao hawajafanyiwa tohara ili kuondoa hatari ya kupata magonjwa. Ameyasema hayo leo Septemba 27,2021 wakati Kamati ya Bunge ya Masuala…
September 28, 2021, 11:14 am
Kahama:Mwanamke aliyejulikana kwa jina la LIMI KULWA (30) ameuawa kwa kukatwa na…
Mwanamke aliyejulikana kwa jina la LIMI KULWA (30) mkazi wa kijiji cha Ilunga kata ya Iyenze wilayani Kahama amefariki dunia baada ya kukatwa na panga sehemu mbalimbali za mwili wake na mume wake, huku Chanzo cha mauaji hayo kikitajwa kuwa…