Recent posts
December 7, 2021, 6:49 pm
DODOMA:Tumieni Teknolojia ya Internet kujikwamua Kiuchumi.
Wanachama wa Mitandao ya kijamii wametakiwa kutumia Teknolojia ya matumizi ya internet kujikwamua kiuchumi hususan katika maeneo ya pembezoni ikiwa ni pamoja na kuimarisha vikundi vya ushirika ili vitambuliwe na serikali na viweze kusaidiwa. Wito umetolewa jana Jijini Dodoma na…
December 7, 2021, 4:32 pm
KAHAMA:Cherehani atoa Fedha za Mifuko 58 ya Saruji,kata ya Sabasabini Ushetu.
Wananchi wa Kitongoji cha Imalange kata ya Sabasabini Halmashauri ya Ushetu Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wamemshukuru mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani kwa kutoa fedha kiasi cha shilingi Milioni moja na laki tatu kwa ajili ya kununua mifuko 58…
November 22, 2021, 5:56 pm
GEITA: LEAT yawapiga msasa madiwani 52 kuhusu sheria za madini na Utunzaji Mazin…
GEITA Madiwani wa halmshauri ya mji Geita Mkoani Geita wameiomba serikali na wadau wa maendeleo kuwapa elimu ya sheria ya ardhi na madini mara kwa mara ili kuwasaidia kuwa na uelewa kuhusu haki zao za msingi. Madiwani wametoa Wito huo leo mkaoni…
November 9, 2021, 9:50 am
KAHAMA:Dc amsimamisha kazi Mwenyekiti wa kijiji aliyekataliwa na wananchi.
Wakazi wa kijiji cha Butondolo kata ya Isaka jana, halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga wamemkataa mwenyekiti wa kijiji hicho, Mange Shilinde baada ya kubatilisha na kuhamisha ujenzi wa zahanati ya kijiji katika kitongoji cha Seseko bila idhini yao, pamoja na…
November 4, 2021, 4:13 pm
KAHAMA: Zaidi ya Wakulima 320 wamegawiwa mbegu bure za zao la pamba
Zaidi ya Wakulima 320 wa zao la pamba katika kata ya Nyakende Halmashauri ya ushetu wilayani kahama mkoani Shinyanga wamepatiwa mbengu bure za zao la pamba zilizotolewa na serikali katika kuwainua wakulima hao katika zao hilo la kibiashara. Akizungumza wakati…
November 4, 2021, 4:06 pm
KAHAMA: halmashauri ya Msalala kupokea zaidi ya shilingi bilioni mbili.
Serikali imetoa fedha kiasi cha shilingi bilioni mbili na milioni mia nne na kumi,kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga, ikiwa ni fedha za ustawi wa maendeleo ya Taifa na mapambano…
November 4, 2021, 1:49 pm
KAHAMA:Watumishi wa serikali watakaokwamisha ujenzi wa Madarasa kusimamishwa kaz…
Walimu wa kuu shule za sekondari na watendaji wa serikali wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kusimamia vyema fedha za ujenzi wa madarasa zilizotolewa Rais SAMIA SULUHA HASSANI ili madarasa hayo yakamilike kwa wakati na watakaokwamisha watasimamishwa kazi. Agizo hilo limetolewa…
November 1, 2021, 2:07 pm
NUKTA AFRICA:Waandishi wa wa habari za mitandaoni andikeni habari zenye tija.
DAR ES SALAAM Waandishi wa habari za mitandao wametakiwa kuandika habari zenye ubora ikiwa ni pamoja na kutumia takwimu za uhakika ili kutoa taarifa sahihi kwa wasomaji na kuacha tabia ya kuangalia idadi ya wasomaji na watu waliotembelea mitandao yao.…
October 31, 2021, 4:38 pm
KAHAMA:RUWASA YAKUTANA NA WADAU WA MAJI NA VYOMBO VYA WATOA HUDUMA ZA MAJI;
Wananchi wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuendelea kutumia maji yanayotokana na vyanzo vya uhakika vilivyothibitishwa kwa ubora na RUWASA ili yawe salama katika afya zao pamoja na kuwataka viongozi kuendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maji kwa wakati. Hayo yamesemwa na…
October 31, 2021, 4:25 pm
KAHAMA:RUWASA YATAKIWA KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI MBALIMBALI KWA WAKATI.
Wakala ya Usambazaji Maji na Usafi na Mazingira Vijijini (RUWASA) wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maji ili kila mwananchi apate maji pamoja na kuanza ujenzi wa usambazaji wa maji pindi wanapopata fedha za miradi. Agizo…