Recent posts
April 25, 2022, 4:58 pm
KAHAMA:Mwalimu ahukumiwa kifungo cha maisja jela kwa kulawiti watoto.
KAHAMA Mahakama ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga imemuhukumu kifungo cha maisha jela Baraka Andrea (26) mwalimu wa Tuition baada ya kukutwa na hatia ya kulawiti watoto watatu wa shule ya Msingi Majengo wenye umri chini ya miaka 10. Akisoma…
April 22, 2022, 2:17 pm
NAFASI YA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII KATIKA ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI…
Na Dr. Regina Malima (PhD) 1.0 Utangulizi SENSA ya watu na makazi ni zoezi maalum lenye lengo la kukusanya na kuchambua takwimu za idadi ya watu katika nchi husika kwa kuangalia umri, jinsia zao, anuani za makazi, kiwango cha elimu,…
February 23, 2022, 1:01 pm
KAHAMA:Jeshi la Polisi lawataka Wananchi kutoa taarifa za Uhalifu bila woga.
Jeshi la Polisi Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga limewatoa wasiwasi raia wema kuhusu utoaji wa taarifa za siri za waalifu katika maeneo yao kuwa wasiogope kama watajulikana pindi wanapotoa taarifa hizo. Wito huo umetolewa leo na Mkaguzi msaidizi wa Polisi Joseph…
February 14, 2022, 3:31 pm
DR KITIMA:Wanaume na wanawake wote wana haki ya Kuishi,Acheni mauaji.
DAR ES SALAAM Jamii imetakiwa kuelewa kuwa wanaume na wanawake wote wana haki sawa ya kuishi na kufanya shughuli zozote zilizo halali na kwamba wanaume waache tabia ya unyanyasaji na mauaji yanayofanywa dhidi ya wanawake. Wito huo umetolewa mwishoni mwa…
January 22, 2022, 11:11 am
Kahama:Viongozi na watendaji wa chama kikuu cha ushirika wilayani Kahama (KACU)…
Viongozi na watendaji wa chama kikuu cha ushirika wilayani kahama (KACU) wametakiwa kuwa waaminifu wakati wakiwahudumia wakulima ili kulinda heshima na hadhi ya chama hicho. Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya Kahama FESTO KISWAGA wakati akifungua kikao Cha mkutano…
January 14, 2022, 7:32 am
Benki ya CRDB yakanusha taarifa ya Kutoa zawadi Mitandaoni.
Katika siku za hivi karibuni mitandao ya kijamii imetumika kama njia rahisi ya mawasiliano katika jamii. Mitandao hii kuna wakati imekuwa ikitoa taarifa za kweli na kuna wakati imekuwa ikitoa taarifa za uongo zenye lengo la kuwaibia watu au kuzua…
January 6, 2022, 12:17 pm
KAHAMA:Bibi anamtafuta Bwana Nelson Bujaga amkabidhi kiwanja chake.
Mkazi wa Bukondamoyo kata ya Muhungula Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga Bi Monica Athanas anawaomba wasamalia wema wanaomfahamu Bwana Nelson Samatini Bujaga au ndugu zake wamtafute ili aweze kuwakabidhi shamba la ukubwa wa robo tatu alilonunua Bwana Bujaga mwaka 2013…
January 5, 2022, 11:49 am
POLISI KAHAMA: Watembea kwa Miguu acheni Madoido kwenye vivuko vya Pundamilia.
Jeshi la polisi kitengo cha usalama Barabarani Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga limewataka watembea kwa miguu kuheshimu alama za barabarani wakati wa kuvuka hasa eneo la pundamilia na kuacha tabia ya kutembea kwa mizaha eneo hilo. Wito huo umetolewa leo…
January 1, 2022, 7:27 pm
GEITA:Watoto wa Kituo cha Moyo wa Huruma waomba wasamalia kuwasaidia vifaa vya S…
Watanzania wametakiwa kujitokeza kuwasaidia watoto wenye uhitaji hasa katika vituo vya watoto yatima vilivyopo katika maeneo mbalimbali nchini ili kuwatia moyo na kuwafanya watoto hao wasijione wakiwa na wapweke katika jamii inayowazunguka. Hayo yamesemwa leo na Msimamizi wa kituo cha…
December 16, 2021, 12:50 pm
Kahama: Serikali wilayani Kahama imekabidhiwa Madarasa 247 yenye thamani ya shil…
Serikali wilayani Kahama mkoani Shinyanga imekabidhiwa Madarasa 247 yenye thamani ya shilingi Bilioni 5.6 yaliojengwa kwa fedha za fedha za Uviko 19. Akikabidhiwa madarasa hayo leo Mkuu wa wilaya ya Kahama FESTO KISWAGA na wakurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya…