Recent posts
June 5, 2024, 5:07 pm
Wawekezaji toeni fursa za ajira kwa vijana wazawa
wawekezaji endeleeni kuwapa kipaumbele wazawa wa maeneo husika kwa kuwapatia kazi ambazo wanaziweza kuzifanya ili nao wapate kipato kupitia uwekaziji huo. Na sebastian Mnakaya Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga Mboni Mhita amewataka wawekezaji katika sekta ya madini kutoa…
June 3, 2024, 7:45 pm
Zaidi ya bil. 44 kutumika mradi wa maji ya ziwa Victoria Ushetu
Changamoto ya barabara pamoja na ujenzi wa kituo cha afya kwenye kata hii kama Wizara ya Fedha tumelipokea tutakwenda kulifanyia kazi mara baada ya kukamilika kwa mradi huu, niwasihi wananchi tukawe walinzi wa miundombinu hii ili ikawe na manufaa na…
June 3, 2024, 9:04 am
RC Macha afunga mkutano wa wasabato Kahama Net Event yatosha Jagwani
Watoto wetu wakilelewa katika misingi ya kumjua Mwenyezi Mungu hakika itapunguza sana mmomonyoko wa maadili katika jamii Na. Paul Kasembo MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amefunga Mkutano wa Waadventista Wasabato huku akitoa ujumbe kwamba mtoto akimjua Mwenyezi…
June 2, 2024, 8:44 pm
Emanuel Nyambi mwenyekiti mpya chama kikuu Cha ushirika Kahama (KACU)
wajumbe katika mkutano huo waliopiga kura jumla ni 282 kutoka vyama mbalimbali vya msingi kutoka katika halmashauri tatu za wilaya ya Kahama Na Leokadia Andrew Viongozi waliochaguliwa na wajumbe wa chama kikuu cha Ushirika (KACU) wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa…
May 30, 2024, 10:36 am
Magesa mbaroni kwa kumuua mtalaka wake
May 28, 2024, 5:28 pm
Halmashauri ya Ushetu yapata hati safi
Mwenyekiti wa halmashauri ya Ushetu Gagi Lala akiwa katika baraza la madiwani (picha na Sebastian Mnakaya ) usimamizi wa ukusanyaji wa mapato umekwenda vizuri ukilinganishwa na mwaka wa fedha 2022/2023 ambao ukusanyaji ulikuwa mbovu mpaka kusababisha kupata hati chafu na…
May 28, 2024, 12:56 pm
Wahudumu wa afya watakiwa kuwa na lugha nzuri
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Annamringi Macha amewataka watumishi wa idara ya Afya katika halmshauri ya msalala wilayani Kahama kuwa na lugha nzuri na zenye staha wakati wa kuwahudumia wananchi wanaofika katika vituo vyao kwa ajili ya matibabu. Akizungumza na…
May 27, 2024, 11:11 pm
Wananchi watakiwa kuhifadhi chakula
Wafanyabiashara wengi wamekuwa wakinunua mazao kwa bei ya chini hali inayosababisha wakulima kuuza chakula na kusahau kukihifadhi ya ajili ya msimu ujao. na Sebastian Mnakaya Wananchi wa halmashauri ya ushetu wilayani kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuendelea kuhifadhi chakula ili kuepuka…
May 7, 2024, 1:03 pm
Wanahabari Shinyanga watembelea kituo cha uzalishaji maji Ziwa Victoria, Ihelel…
Kituo cha uzalishaji maji Ziwa Victoria uliopo Ihelele wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza picha na (Sebastian Mnakaya) Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga pamoja na Mamlaka ya kudhibiti huduma za Nishati na Maji EWURA Kanda ya Magharibi wametembelea Kituo cha…
May 1, 2024, 5:06 pm
Wananchi Kijiji Cha Busangi kuanza kutumia maji ya Ziwa Victoria
Mradi wa maji utakaowanufaisha Wananchi zaidi ya 10000 kata ya Busangi wenye thamani ya zaidi ya sh.bilioni 5 Na Sebastian Mnakaya Zaidi ya wananchi 10,000 katika kata Busangi halmashauri ya Msalala wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wamenufaika na mradi wa…