Kahama FM

Recent posts

April 2, 2021, 7:36 am

Wachenjuaji wa dhahabu wajenga kituo cha Polisi

MKUU wa Wilaya ya Shinyanga, Jasinta Mboneko ameeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa kituo cha Polisi kilichopo kwenye machimbo ya Dhahabu Mwakitolyo wilayani Shinyanga, ambacho kitasaidia kuimarisha ulinzi na usalama katika eneo hilo. Mboneko amebainisha hayo leo alipofanya ziara…

March 31, 2021, 8:25 am

Mbaroni kwa kumpa Mimba bintiwa Darasa la nne.

Jeshi la polisi mkoani Kagera linamshikilia Kusekwa Madaha (27) mkazi wa kijiji cha Murongo wilayani Kyerwa kwa tuhuma ya kumpa mimba mwanafunzi wa darasa la nne ambaye jina lake na la shule, vimehifadhiwa. Kamanda wa polisi mkoani Kagera Revocatus Malimi…

March 30, 2021, 11:50 am

Philip Mpango apendekezwa kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN amempendekeza Waziri wa Fedha Dk. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kinachofuata sasa ni Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuthibitisha jina lake…

March 28, 2021, 1:54 pm

Wananchi Manispaa ya Kahama Wamlilia JPM,

Wakazi wa manispaa ya KAHAMA mkoani SHINYANGA wameeleza kuhuzunishwa na kifo cha aliyekuwa raisi wa TANZANIA JOHN POMBE MAGUFULI Wakizungumza na KAHAMA FM baadhi ya wakazi hao,FANUEL NZAGAMBA na SAMWELI MATIKO wamesema hayati MAGUFULI alikuwa na maono yenye matokeo chanya…

March 25, 2021, 2:39 pm

Wanawake wachimbaji wadogo wa Dhahabu Shinyanga sasa kuwezeshwa.

TAASISI ya Kuendeleza Wachimbaji Wadogo wa Madini hapa nchini (FADev), wanatarajia kuanza utoaji wa fedha za ruzuku kwa wanawake ambao ni wachimbaji wadogo wa Dhahabu mkoani Shinyanga, pamoja na kuwapatia mkopo wa vifaa vya uchimbaji bila riba, ili kuwakuza kwenye…

March 24, 2021, 10:51 am

TADIO yazitaka Redio za kijamii kuchangamkia nguvu ya Teknolojia.

Radio za kijamii nchini zimetakiwa kutumia tovuti ya kurusha matangazo mubashara ya TADIO kuibua na kutatua changamoto mbalimbali zilizopo katika jamii zao ikiwa ni Pamoja na kutanua wigo wa masoko katika kukuza kipato cha radio hizo. Wito huo umetolewa leo…