Recent posts
July 15, 2021, 12:00 pm
SHULE YA SEKONDARI GEITA YAFUNGWA BAADA YA KUUNGUA MOTO MARA YA TATU.
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule ameifunga Shule ya Sekondari ya Wavulana Geita (GESECO) kwa muda wa wiki mbili baada ya moto kuwaka katika bweni la wavulana usiku wa kuamkia leo Julai 14, 2021. Kutokana na uamuzi huo, wanafunzi…
July 15, 2021, 8:41 am
Wahitimu vyuo vikuu walazimika kuolewa kutokana na kukosa ajira mtaani.
Wanawake waliohitimu vyuo vikuu nchini wamesema wanalazimika kuingia kwenye ndoa ili kujikwamua na ugumu wa maisha wanapofika mtaani baada ya kukosekana kwa ajira licha ya kuwa na elimu ya juu. Hayo yamebainishwa na baadhi ya wadau mjini Njombe wakati wakitoa…
July 14, 2021, 7:54 am
KAHAMA:Mradi wa kituo cha Mafunzo ya Kilimo wa Barrick kuwanufaisha wakulima.
Mradi wa ujenzi wa kituo cha mafunzo ya kilimo na ufugaji katika kata za Mwendakulima na Mondo unaofadhiliwa na kampuni ya madini ya Barrick,mgodi wa Buzwagi, umeanza kunufaisha wakulima na iwapo watatumia ujuzi wanaopata kituoni hapo watafanikiwa zaidi kwa kuongeza…
July 9, 2021, 6:29 pm
DC KISWAGA:Wana Kahama Jitokezeni Julai 12 kuupokea Mwenge wa Uhuru.
Mkuu wa wilaya ya Kahama Mh Festo Kiswaga amewataka wananchi wa Manispaa ya Kahama kujitokeza kwa wingi kuupokea mwenge wa Uhuru ambao unatarajia kuingia manispaa ya Kahama Tarehe 12/7/2021. Kiswaga amesema kuwa mwaka huu mwenge wa uhuru utapokelewa na baada…
July 8, 2021, 8:24 am
Maafisa ardhi watakaomilikisha kiwanja kimoja mara mbili kuchukuliwa hatua.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema watumishi wa sekta ya ardhi watakaohusika kwa namna moja ama nyingine kumilikisha kiwanja kimoja mara mbili (Double allocation) watachukuliwa hatua kali. Alizungumza mara baada ya kukagua shughuli za utendaji…
July 7, 2021, 4:27 pm
Madiwani, watendaji na wawezeshaji katika halmashauri ya ushetu watakiwa kutoa r…
Madiwani, watendaji na wawezeshaji katika halmashauri ya ushetu wilayani kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kutoa ruzuku kwa kaya masikini kupitia TASAF kwa kuzingatia sifa za watu wanaopaswa kupata ruzuku hiyo, kwa uadilifu na kuzingatia taratibu, kanuni na sheria za utoaji fedha…
July 7, 2021, 4:18 pm
kikundi cha vijana 10 chapatiwa pikipiki 20 zenye thamani ya shilingi millioni 5…
Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga imekabidhi pikipiki 20 zenye thamani ya shilingi millioni 50 kwa kikundi cha vijana 10 katika kijiji cha Kakola kata Bulyanhulu. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi pikipiki hizo mkuu wa wilaya ya Kahama FESTO…
July 7, 2021, 11:19 am
Wanaume wilayani Kahama washauriwa kutoa taarifa za ukatili.
Wanaume wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameshauriwa kutoa taarifa za ukatili katika dawati la jinsia pindi wanapofanyiwa ukatili na wenza wao, ili waweze kutatuliwa changamoto zinazowakabli katika jamii.. Wito huo umetolewa na KOPLO JOSEPH shayo wakati akizugumza na KAHAMA FM, ambapo…
July 7, 2021, 10:55 am
Kaya masikini kunufaika na mradi wa TASAF Kahama.
Serikali wilayani Kahama mkoani Shinyanga imewataka viongozi, wawezeshaji na watendaji kutoa elimu kwa kaya masikini zinazopatiwa ruzuku ili fedha wanazopata waweze kijikimu na kuongeza kipato chao, kwa kuanzisha miradi itakayowapatia kipato cha kudumu. Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya…
July 6, 2021, 9:57 am
USHETU:DC Kiswaga awapa mbinu ya kutoboa kimaisha vijana wanaocheza Pool Table n…
KAHAMA: Mkuu wa wilaya ya kahama, Festo Kiswaga amepiga marufuku tabia ya vijana wasiokuwa kazi maalumu hususani wanaokaa vijiweni na kuendekeza michezo ya kubahatisha maarufu kama betting na pool table na badala yake watakiwa kujiorodhesha kupitia kwa viongozi wao wa…