Recent posts
January 27, 2026, 1:54 am
Vijana Malunga watakiwa kujiari wao wenyewe
Na Sebastian Mnakaya Vijana wa kata ya Malunga wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamekabidhiwa Cherehani 4 na Mashine ya kuchomelea 1, vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 1.9 ili kujiari na kujikwamua kiuchumi. Akikabidhi vifaa hivyo mbele ya mkutano wa…
January 22, 2026, 2:00 pm
TARURA Kahama watakiwa kujenga mitalo
‘‘TARURA Kahama tunaomba mtenge bajeti kwa ajili ya kujenga mitalo ili kuondokana na changamoto ya kuharibika kwa barabara’’ Na Sebastian Mnakaya Wakala wa Barabara Vijijini na Mjini(TARURA) wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kujenga mitalo pembezoni mwa barabara ili kuondokana…
January 22, 2026, 9:57 am
Wananchi Kahama watakiwa kuacha tabia ya kutupa taka kwenye mitalo
Na Sebastian Mnakaya Wananchi wa jimbo la Kahama Mjini mkoani Shinyanga wametakiwa kuacha tabia ya kutupa taka kwenye mitalo ya maji pamoja na kulinda miundombinu ya barabara ili kuondokana na athari ya mafuriko ya maji wakati wa msimu wa mvua.…
January 10, 2026, 1:41 pm
TARURA Kahama watakiwa kusimamia wakandarasi wamalize miradi kwa wakati
Na Sebastian Mnakaya Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wilayani Kahama mkoani Shinyanga, wametakiwa kuwasimamia vizuri wakandarasi ili waweze kujenga barabara zenye ubora pamoja na kuzimaliza kwa wakati ili njia barabara zipitike wilayani humo. Wito huo umetolewa na…
October 28, 2025, 3:58 pm
Wachimbaji wadogo wa madini tunzeni amani
”kuitunza amani tulionayo ni pamoja na kuzingatia sheria taratibu na kanuni za nchi yetu” Na Sebastian Mnakaya Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu wilayani Kahama mkoani Shinyanga amewataka kuitunza amani tulionayo kwa kuzingatia sheria taratibu na kanuni za nchi yetu,…
October 28, 2025, 3:42 pm
Vijana Kahama wahimizana kupiga kura
Wilaya ya Kahama iko salama, wananchi jitokezeni kupiga kura Na Sebastian Mnakaya Kuelekea Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika oktoba 29, 2025, Vijana wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamehimizana kushiriki uchaguzi mkuu pamoja na kulinda amani na utulivu na kuachana na maandamano. Hayo…
September 21, 2025, 2:03 pm
Wananchi changia huduma za maji miradi iwe endelevu-Koya
”Wananchi wanapaswa kuelimishwa juu ya umuhimu ya kuchangia huduma ya maji ili kuwa na miradi endelevu ya maji” Na Sebastian Mnakaya Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini (RUWASA) Taifa Mhandisi Ruth Koya…
September 9, 2025, 3:04 pm
DC Nkinda atatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka 5
Mkuu wa wilaya ya Kahama Frank Nkinda na mwekezaji Tenth Maruhe (Picha na Sebastian Mnakaya) ”kwa mujibu wa sheria za ardhi, kutokana na maelezo ya afisa ardhi na mwekezaji mzawa Tenth Maruhe ametoa maagizo barabara hiyo kuondolewa ilipo kwa sasa…
August 20, 2025, 5:32 pm
Wananchi Kahama watakiwa kuchangamkia fursa za uwekezaji
”Wananchi wilayani Kahama changamkieni fursa za uwekezaji na kampuni ya Uwekezaji ya UTT Asset Management and Investor Services (UTT AMIS)” Na Sebastian Mnakaya Wananchi wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kutumia fursa ya kuwekeza fedha zao na kampuni ya…
August 19, 2025, 12:26 pm
Sheria na kanuni za matumizi ya barabara yazingatiwe
”watembea kwa miguu zingatieni upande wao sahihi wa kupita, kwa mjibu wa sheria za usalama barabarani ni mkono wa kulia wa mtumiaji ili kutoa nafasi ya kuona chombo cha moto kilichombele yake” Na John Juma Watumiaji wa barabara katika Halmashauri…
