Kahama FM
Kahama FM
September 9, 2024, 5:19 pm

Mshana amewataka wanawake wajawazito wanapopata uchungu wanashauriwa kufika hospitali mapema pasipo kutumia dawa za asili ili aweze kujifungua salama.
Na Sebastin Mnakaya
Wananchi wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamekiwa kuacha tabia ya imani potofu ya kudhani ugonjwa wa fistula unawapata wanawake baada ya kujifungua kuhusiswa na imani za kishirikina.
Mshana amewataka wanawake wajawazito wanapopata uchungu wanashauriwa kufika hospitali mapema pasipo kutumia dawa za asili ili aweze kujifungua salama.
kwa upande wake afisa muuguzi kutoka halmahauri ya Msalala Justin Mayumba amesema wanawake wengi wanaopata tatizo la fistula hupatwa na msongo wa mawazo hivyo kuathirika kisaikolojia