Kahama FM
Kahama FM
July 6, 2021, 9:57 am

KAHAMA:
Mkuu wa wilaya ya kahama, Festo Kiswaga amepiga marufuku tabia ya vijana wasiokuwa kazi maalumu hususani wanaokaa vijiweni na kuendekeza michezo ya kubahatisha maarufu kama betting na pool table na badala yake watakiwa kujiorodhesha kupitia kwa viongozi wao wa vijiji na mitaa ili serikali iwasaidie kupata kazi zikiwemo za kilimo cha pamba na tumbaku.