Joy FM

Wizi

27 September 2024, 4:39 pm

Auawa katika purukushani na Jeshi la Polisi

Wananchi wamesisitizwa kuendelea kutoa taarifa za uhalifu kwa jeshi la polisi ili kudhibiti vitendo hivyo. Na Nyamizi Mdaki Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 27 mkazi wa Usinge Mkoani Tabora John Machibya ameuawa katika purukushani na jeshi la polisi. Kamanda…

24 September 2024, 5:03 pm

Watumishi Ngorongoro wahimizwa kushiriki kikamilifu uchaguzi

Halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro ni miongoni mwa halmashauri baadhi ya vijiji na vitongoji vilikuwa vimefutwa na kutangazwa kutoshoriki uchaguzi wa serikali za mitaa hata hivyo hivi karibuni waziri wa TAMISEMI mh Mohamed Mchengerwa ametangaza kuvirejesha tena na maandilizi yanaendelea…

22 August 2024, 1:04 pm

Wafanyabiashara Katavi wahofia kuuza mahindi NFRA

Picha na mtandao “Wakulima wengi wana uwezo wa kuzalisha mazao lakini hawana elimu ya kutosha ya kilimo hali inayosababisha wakati mwingine kutokuwa na mazao bora“ Na Lilian Vicent -Katavi Baadhi ya wafanyabiashara wa mahindi mkoani Katavi wameeleza vigezo vingi vinavyowekwa…

13 August 2024, 9:58 am

KKKT usharika wa Magulilwa kupinga ukatili wa kijinsia

Viongozi wa dini wana jukumu na nafasi kubwa katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia katika jamii. Na Mwandishi wetu Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Iringa Dr. Blaston Gavile amelitaka kanisa hili kupinga vitendo vya ukatili…

1 August 2024, 2:42 am

TAKUKURU Geita kufanyia uchunguzi miradi yenye mapungufu

Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) mkoa wa Geita imeendelea kufanya uchunguzi wa miradi mbalimbali ili kubaini iwapo kuna ubadhirifu au ukamilifu wa miradi hiyo. Na: Kale Chongela – Geita Jumla ya kesi 19 za vitendo vya…

13 July 2024, 9:47 am

Miche milioni 3 ya kahawa kugawiwa bure Karagwe

Uchumi wa Karagwe unaendelea kukua kutokana na hamasa ya serikali kwa wananchi juu ya kuongeza nguvu ya upandaji wa miche bora ya kahawa na kuitunza. Na Shabani Ngarama Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Karagwe mkoani Kagera bw. Wallace Mashanda…

21 June 2024, 1:56 pm

Zaidi ya milion 230 zatolewa kuwakwamua wanawake kiuchumi

Wanawake watakiwa kujiunga kwenye vikundi vya ujasiriamali ili viwasaidie kupata mikopo na kujikwamua kimaisha. Na Mariam Mramba Jumla ya wanawake 263 kutoka kijiji cha Magunga kata ya Mirwa wilayan Butiama wamenufaika na mkopo wa shilingi (232, 470,000) million mia mbili…

28 May 2024, 10:16 pm

FM Manyara yagawa taulo za kike kwa wafungwa, wanafunzi

Leo ikiwa ni Siku ya Hedhi Salama duniani mabinti na wanawake wote kwa ujumla wametakiwa kujihifadhi kwakutumia taulo za kike, FM Manyara radio imetembelea na kugawa taulo za kike kwa wanafunzi pamoja na wafungwa wanawake wilayani Babati mkoani Manyara na…