Joy FM

Umeme

29 August 2024, 4:16 pm

Unafanya nini ili mwanamke awe kiongozi?

Na Mwandishi wetu Evanda Barnaba Jamii ya Kimaasai ni moja ya jamii kubwa Kaskazini mwa Tanzania pia imekuwa ni moja ya jamii iliyoendelea kutunza mila, desturi na tamaduni nzuri lakini zipo baadhi ya mila ambazo ni mbaya, moja ya mila…

28 August 2024, 15:38

Mwanaume ajinyonga kwa kutumia shuka Mbeya

Maisha yana changamoto nyingi ambapo husababisha baadhi ya watu kuwa na msongo wa mawazo, hali hiyo husababisha wengine kujiondoa duniani kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kujinyonga na wengine kunywa sumu. Na Flora Godwin Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina…

August 15, 2024, 10:45 pm

Mwenge wa Uhuru wazindua Jengo jipya la uchunguzi Kahama

watumishi wa sekta za afya endeleeni kutoa huduma nzuri kwa wananchi baada ya serikali kutengeneza miundombinu rafiki kufanyia kazi Na Kitila Peter Halmashauri ya manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imepongezwa kwa kuendelea kutenga fedha za mapato ya ndani kwa ajili…

13 July 2024, 05:18

Sangoma adaiwa kumbaka binti yake Mbeya

Katika hali ya kushangaza binti mmoja mkoani Mbeya anadaiwa kufanyiwa kitendo cha ukatili na mzazi wake wa kumzaa (Baba) kwa kudaiwa kufanya naye tendo la ndoa. Na Ezekiel Kamanga Masumbuko Sompo (51) mganga wa jadi mkazi wa kijiji cha Nyombwe…

10 July 2024, 3:35 pm

Mwenyekiti CCM afariki kwa kujinyonga

Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Sengerema kimepata pigo jingine la kufiwa na mwenyekiti wa tawi la Majengo Buchosa kwa kujinyonga. Ikumbukwe mnamo mwezi mei aliyekuwa mwenyekiti wa UWT wilaya Ndg.Jeni Msoga alifariki Dunia kwa maradhi ya shinikizo la damu. Na…

10 June 2024, 5:05 pm

Arusha Express yaua wa 3 Manyara

Kamanda wa polisi mkoani Manyara Geogre Katabazi awataka wananchi mkoani Manyara kuchukua tahadhari kwa kuangalia usalama wao pindi ajali zinapotokea kwa kuacha kusogea karibu na eneo la tukio. Na George Augustino Watu watatu wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada…