Joy FM

Uchumi

26 September 2024, 14:31 pm

Mmoja ahofiwa kupoteza maisha kwa kuliwa na mamba mto Ruvuma

Katika kipindi cha miaka miwili inasemekana ni zaidi ya watu wanne wameripotiwa kupoteza maisha kwa kushambuliwa na mamba katika eneo la Kiyongo hali inayoendelea kuhatarisha uhai wa wakulima na wavuvi wanaofanya shughuli zao katika eneo hilo. Na Musa Mtepa Mtu…

22 August 2024, 3:56 pm

Inatisha, avunjika uti wa mgongo, aomba msaada

Annastazia Jacob (22) mkazi wa kijiji cha Mabamba, kata ya Nyamigota ndani ya mamlaka ya mji mdogo wa Katoro wilayani na mkoani Geita anapitia maumivu makali na mateso baada ya kuanguka kutoka juu ya mti. Na: Evance Mlyakado – Geita…

30 July 2024, 9:44 am

BUWSSA yaendelea kutanua mtandao wa maji Bunda

Mkurugenzi wa mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Bunda BUWSSA Bi, Ester Giryoma awewataka wananchi kufuata utaratibu wa maunganisho mapya ya maji ili kuepuka vishoka wanaoweza kuwaibia fedha zao Na Mariam Mramba Wananchi wa kata ya Bunda stoo, halmashauri …

1 July 2024, 3:47 pm

Matibabu bure kwa wazee bado kizungumkuti

Sera ya matibabu bure kwa wazee nchini bado inagubikwa na vikwazo mbalimbali ambapo walengwa ambao ni wazee mkoani Geita wameeleza changamoto wanazopitia. Na: Edga Rwenduru – Geita Baadhi ya wazee wanaoishi katika kata za Kalangalala, Mtakuja na Bombambili katika halmashauri…

20 June 2024, 8:45 pm

 Kamanda Katabazi azindua daraja la Mapea

Changamoto ya muda mrefu iliyokuwa inawakabili wakazi wa kijiji cha Matufa kwa kukosa daraja na wananchi kushindwa kupita katika eneo hilo ambalo lilikuwa linatumika kufanyia vitendo vya uhalifu limetatuliwa. Na Angel Munuo Kamanda wa polisi mkoani Manyara Geogre Katabazi amezindua…

14 May 2024, 08:06 am

Wavuvi waliopotea baharini Mtwara bado hawajaonekana

Boti hiyo ambayo ilikwenda baharini jioni ya tarehe 9/5/2024 kwa matarajio ya kurudi asubuhi  ya tarehe 10/5/2024  lakini hawakufanikiwa kurudi baada ya kupata hitilafu na walinipigia simu kuanzia saa kumi na moja hadi saa sita mchana wakaniambia mwenyekiti simu zetu…

9 May 2024, 3:04 am

Wakazi wa kijiji cha Nyakayondwa hawana zahanati

Vituo vya afya na zahanati ndizo ngazi za kwanza za afya zinazoigusa jamii moja kwa moja. Licha ya serikali kuweka mpango wa kurahisisha huduma za afya kwa kuboresha miundombinu, kwa wakazi wa kijiji cha Nyakayondwa bado ni kitendawili. Na: Evance…

May 8, 2024, 2:17 pm

Mifugo yaripotiwa kuuawa kwa sumu za viwanda vya dhahabu

“Mheshimiwa Mwenyekiti kwanza kabisa binafsi kwa hoja hii iliyotolewa hapa kwenye Baraza lako binafsi sijawahi kupata malalamiko hayo sisi kama halmashauri gharama za usajili ni shilingi elfu kumi (10,000) pekee kwa kikundi tutaendelea kufuatilia ubadhilifu huo” Alisema Judica Sumari. NA…