Jamii FM

Jamiifm

8 May 2025, 3:31 pm

Wananchi waombwa kulipia bili za maji kwa wakati

Mamlaka ya maji safi na salama katika Halmashauri ya Mji Kasulu yaombwa kuboresha huduma ya maji katika baadhi ya maeneo yanayotoa maji machafu ili kuwa na mwendelezo wa utoaji maji safi kwa jamii. Na: Emily Adam Watumiaji wa maji katika…

8 May 2025, 1:56 pm

Kilio kisichosikika utelekezaji watoto Kigoma

Kwa mujibu wa Takwimu za Ofisi ya Ustawi wa Jamii, kati ya mwezi March hadi April mwaka 2025 pekee kuna zaidi ya watoto 150 walitelekezwa katika Wilaya ya Kigoma. Hii leo wengi wa watoto hawa wanaishi mtaani, hawawajui wazazi wao…

7 May 2025, 12:46 pm

Wanandoa watakiwa kuvumiliana

Malengo ni kupunguza ndoa kuvunjika Na Pili Mwang’osi TAASISI zinazofungisha ndoa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, zimewataka wanandoa hususan vijana kuwa wavumilivu ili kupunguza wimbi la ndoa kuvunjika. Ofisa Tarafa ya Vwawa, Wilaya ya Mbozi, Edward Lugongo , ametoa wito…

6 May 2025, 5:21 pm

Kikundi cha mwanamke shujaa chamchangia Rais Samia Rungwe

Kwa kutambua kazi zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jamii imeendelea kuungana na Dkt,samia kuendelea kuwatumikia wananchi kwa kipindi kingine cha miaka mitano ijayo RUNGWE – MBEYA Na Lennox Mwamakula Mkuu wawilaya ya Rungwe Mh,Jaffar Hanniu amepokea…

5 May 2025, 2:50 pm

Wanawake wakumbushwa kugombea nafasi za uongozi Rungwe

Katika kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu wanawake wametakiwa ushiriki kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya vyama vyao vya siasa RUNGWE -MBEYA Na Bertha Izengo Wanawake nchini wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wakati Taifa tunaelekea kwenye uchagaguzi mkuu…

14 April 2025, 8:35 am

Madereva bodaboda dhibitini matukio ya ubakaji na ulawiti

Maafisa usafirishaji maarufu Madereva bodaboda wilayani Kigoma wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kukabiliana na vitendo vya ukatili. Na Kadislaus Ezekiel Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dkt. Rashidi Chuachua amewataka madereva bodaboda kusaidia kudhibiti matukio ya ubakaji na ulawiti kwa…