Jamii FM

Jamiifm

3 April 2026, 3:52 pm

Viongozi watakiwa kudhibiti vitendo vya ukatili Kigoma

Wenyeviti wa mitaa pamoja na mabalozi wametakiwa kuongeza juhudi katika kudhibiti vitendo vya ukatili vinavyoendelea kujitokeza katika jamii. Hayo yameelezwa kufuatia ongezeko la matukio ya ukatili wa kijinsia, majumbani na dhidi ya watoto katika baadhi ya maeneo. Na Mwandishi wetu…

17 March 2026, 5:20 pm

Anyowise ahukumiwa kifungo cha miaka 7 gerezani

Kutokana na wimbi la wizi katika maeneo mbali mbali jamii imetakiwa kuacha vitendo hivyo na badala yake wajike katika shughuli halali za kujipatia kipato na mwandishi wetu. Mahakama ya Wilaya ya Makete Mkoani Njombe imemuhukumu Anyowise Gehezi sanga maarufu kwa…

17 March 2026, 1:30 pm

Wananchi Arusha wahimizwa ushirikiano katika malezi ya watoto

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha, ndugu Seleman Msumi, amesema malezi bora ni kielelezo muhimu katika kufanikisha maendeleo endelevu katika jamii. Na Mariam Mallya Msumi ameeleza hayo jijini Arusha kwenye kongamano lililowakutanisha makundi ya malezi na walezi kutoka…

16 March 2026, 2:57 pm

Ushiriki wa baba katika malezi watajwa kuwa changamoto

Wadau wa masuala ya malezi na makuzi ya watoto wamesema ushiriki mdogo wa wanaume katika malezi ya watoto bado ni changamoto kubwa katika jamii, hali inayoweza kuathiri ukuaji na ustawi wa watoto. Na Mariam Mallya Mtaalam wa masuala ya ulinzi…

9 March 2026, 9:18 am

Jamii yaaswa kutofumbia macho ukatili Kakonko

Kutoa taarifa za ukatili ni jukumu la kila mwanajamii kwani kutasaidia kulinda maisha ya watu, kuwapatia wahanga msaada, kuzuia ukatili kuendelea na kuhakikisha haki inatendeka. Na Dotto Josephati Jamii Mkoani Kigoma imetakiwa kuachana na tabia ya kufumbia macho vitendo vya…

9 March 2026, 8:12 am

Toeni taarifa za vitendo vya ukatili “DC Uvinza”

Ukatili ni tatizo kubwa katika jamii nyingi na unaweza kutokea majumbani, shuleni, kazini au katika maeneo ya umma, mara nyingi wahanga wa ukatili hukosa msaada kwa sababu watu wanaoshuhudia au wanaojua kuhusu vitendo hivyo hushindwa kutoa taarifa. Na Mwandishi wetu…

6 March 2026, 10:19 am

Wanawake waaswa kutumia fursa za kiuchumi Buhigwe

Wanawake ni sehemu muhimu ya jamii na wana mchango mkubwa katika maendeleo ya familia na taifa kwa ujumla ambapo katika dunia ya sasa kuna fursa nyingi zinazowazunguka wanawake kama vile elimu, biashara, kilimo na ajira na wanapochangamkia fursa hizo wanaweza…

5 March 2026, 5:21 pm

Nkubhagana ataja faida za ufugaji wa nyuki

“Ufugaji wa nyuki una faida nyingi kutokana na matumi zake kuwa mengi pia” Na; Helbeth Barayata Wananchi wa Halimashauri ya Mji kasulu mkoani Kigoma wameshauriwa kujishughurisha na ufugaji wa nyuki, uchakataji na uuzaji wa mazao yanayotokana na mazao ya asali…

19 February 2026, 11:15 am

Baraza lawafukuza kazi watumishi Rungwe

Baadhi ya madiwani wakiwa kwenye kikao cha baraza halmashauri ya wilaya ya Rungwe [picha na Lennox Mwamakula] watumishi wa uma wanatakiwa kufuata kanuni na sheria za kazi kama zinavyoelezwa ili kuleta matokeo chanya kwa wanao watumikia Rungwe-Mbeya Na Lennox Mwamakula…

15 February 2026, 5:46 am

Sekta muhimu zapewa kipaumbele bajeti 2026/27 Simanjiro

Baraza la Madiwani Simanjiro lamepitisha rasimu ya bajeti ya Sh45.1 bilioni kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ambapo Sekta za Elimu, Afya, Kilimo, na Mifugo zimepewa kipaumbele. Na Mwandishi Wetu Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara,…