Huheso FM

NAFAKA

21 November 2025, 2:03 pm

Ulega wakandarasi wazembe wawekwe ndani

Naye, Meneja wa TANROADS Dodoma, Mhandisi Zuhura Amani, amesema wataendelea kufuatilia na kuwasisitiza wakandarasi wote kuhakikisha miradi inatekelezwa kwa mujibu wa mkataba. Na Seleman Kodima.Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza kukamatwa kwa wakandarasi wa kampuni ya China First Highway Engineering…

27 October 2025, 3:31 pm

INEC yawaonya wasimamizi wa uchaguzi kuzingatia maadili

“Zingatieni maadili na viapo vyenu mnapoenda kusimamia uchaguzi katika vituo vyenu” Na Fredrick Siwale Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jimbo la Mafinga Mjini Imewataka Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa vituo vya kupigia kura kusimamia maadili na masharti ya…

27 September 2025, 5:50 pm

Ligi kuu daraja la kwanza mpira wa pete yaanza kitaifa Tabora

Na Kimwaga Shaban Mashindano ya ligi kuu Daraja la kwanza Taifa ya mchezo wa Pete ambayo yanafanyika katika Mkoa wa Tabora kuanzia Jumamosi Septemba 26, 2025  katika viwanja vya shule ya  Tabora wasichana (Tabora Girls). Akizungumza na UFR Mwenyekiti wa…

26 August 2025, 7:53 PM

Wakazi Masasi wasisitizwa chanjo kwa  wanyama wanaofugwa

“Tukichanja  mbwa wetu, siku  akikung’ata  kutakuwa  na  madhara  ya  kawaida, tuhakikishe  mbwa  wanachanjwa ili kuepuka  ugonjwa  hatari  wa  kichaa cha mbwa“ Na Neema Nandonde Mkuu  wa  Wilaya  ya Masasi  mkoani Mtwara, Rachel  Kassanda  amewataka  wakazi wa  wilaya  hiyo  kuwapa  chanjo …

August 21, 2025, 2:07 am

Shilingi bilioni 45 kujenga madaraja matano Kagera

Shilingi bilioni 45 zinatarajiwa kutumika kujenga madaraja matano mkoani Kagera ambayo yamekuwa hatarishi hasa nyakati za mvua hali inayokwamisha shughuli za usafiri na ufarishaji mkoani Kagera. Na Avitus Kyaruzi Serikali inatekeleza ujenzi wa madaraja matano ambayo yamekuwa hatarishi hasa nyakati…

16 August 2025, 6:36 pm

Shangwe kwa wakulima wa shayiri

Na Joel Headman Kampuni ya bia ya Tanzania Breweries PLC (TBL) imekusudia kuwainua zaidi wakulima wa Shayiri walioko kanda ya Kaskazini na maeneo mengine ya nchi ili kuongeza uzalishaji wa bidhaa hiyo muhimu ambayo hutumiwa kama kimea kwenye uzalishaji wa…

5 August 2025, 12:00 pm

Karibu kusikiliza kipindi maalumu na TCRA kanda ya ziwa

Mamlaka ya mawasiliano Nchini Tanzania (TCRA) Kanda ya ziwa imewataka watanzania kuwa makini na taarifa za kimtandao hasa taarifa za uongo. Na.Peter Marlesa Ungana na Peter Marlesa akiwa na  Belenadetha Mathayo Afsa kutoka TCRA kanda ya Ziwa, akifafanua kwa Watanzania…