Podcasts
31 January 2023, 12:02 pm
Askari 12 watunukiwa vyeti Iringa
Askari waliotunukiwa vyeti vya utendaji kazi bora wamehimizwa kuwa wazalendo za kuzingatia haki pindi wanapotekeleza majukumu yao. Na Elizabeth Shirima Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa ACP. Allan L. Bukumbi amewatunuku vyeti vya pongezi Askari Polisi 12 na mtumishi raia…
31 January 2023, 12:02 pm
Balozi afafanua juu ya Miundombinu ya Maji taka
Balozi wa mtaa wa Bahiroad mariamu omary amelazimika kutoa ufafanuzi juu ya miundombinu ya maji taka. Na Leonard Mwacha Alitoa ufafanuzi huo juu ya shutuma zinazoelekezwa kwa wenye nyumba juu ya kuhusika na uharibifu wa miundombinu ya maji taka. Kwa…
31 January 2023, 11:56 am
DAS Pangani atangaza hatua dhidi ya wazazi wasiochangia chakula Shuleni
Jumla ya wanafunzi 280 walifanya mitihani ya Darasa la Saba mwaka 2022 katika shule ya msingi Kipumbwi. Waliochaguliwa kujiunga na Elimu ya Sekondari ni 219 na ambao hawakufanikiwa kupata alama za kutosha kuendelea na elimu ya Sekondari ni 61. Na…
17 January 2023, 9:15 AM
Wafanyabiashara Soko la Mkuti wilayani Masasi Mkoani Mtwara wofia ugonjwa wa mli…
MASASI. Baadhi ya Wafanyabiashara wanaofanya biashara zao katika Soko la Mkuti Halmashauri ya Mji wa Masasi, wameshauri eneo la kuifadhia taka kwa muda lililopo katika Soko hilo liboreshwe kwa kuwekwa miundominu rafiki ya kutunzia taka hizo au liondolewe kwa kutafuta…
16 January 2023, 10:07 AM
Shule jumuishi Ya Mfano Ya Msingi Lukuledi Imeziduliwa!!!
MASASI. Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda amezindua Shule ya Msingi jumuishi ya mfano Lukuledi Wilayani Masasi mkoani mtwara ikiwa ndio shule ya kwanza ya mfano kwasasa ambayo huwezi kuiona sehemu nyingine Tanzani kwa ukubwa na wingi wa miundombinu huku…
10 January 2023, 2:27 PM
CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA MASASI CHA MPONGEZA RAISI
Katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi wilaya ya masasi TWAHILI SAIDI MAYOLA, amezungumza na radio fadhila juu ya tamko la raisi wa jumuhuri ya muungano wa Tanzania dkt samia suluhu hassan kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa…
31 December 2022, 12:56 PM
Mkuu wa Wilaya Masasi amewataka wananchi kusherekea Sikukuu za Mwisho wa Mwaka k…
Mkuu wa Wilaya ya Masasi, Bi. CLAUDIA KITTA, ametoa Rai kwa Wananchi wa Masasi katika kuelekea Sikukuu za Mwisho wa Mwaka za Krismasi na Mwaka Mpya kusherehekea kwa utulivu na amani. Pia amesisitiza na kuwahimiza wazazi na walezi kuwalinda watoto…
29 December 2022, 7:55 pm
Afariki dunia baada ya kusombwa na maji akivuka mto
Na Mrisho Sadick : Mtu mmoja aliefahamika kwa jina la Benjamini John mwenye umri wa miaka (30) Mkazi wa Kata ya Kasamwa Halmashauri ya mji wa Geita amefariki dunia baada ya kusombwa na maji wakati akijaribu kuvuka kwenye mto kwenda…
19 December 2022, 11:45 am
Kipindi: Fahamu njia za kuwafundisha watoto wenye Usonji
Na Ramla Masali Makala haya yanazungumzia namna bora ya kuwafundisha watoto wenye Usonji. Sikiliza makala haya
19 December 2022, 11:32 am
Kipindi: Wazazi au walezi wanamlinda vipi mtoto asipate unyanyasaji wa kijinsia
Na Grace Hamisi Sikiliza kipindi hiki maalumu juu ya jamii inavyopambana katika kumlinda mtoto dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia. Sikiliza hapa