Dodoma FM

usafiri

17 December 2025, 2:37 pm

RC Kheri asisitiza bima ya afya kwa wote

Bima ya afya imetajwa kuwa msaada kwa wananchi kupata huduma bora za afya. Na Hafidh Ally Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya zote mkoani hapa kuhakikisha kuwa vituo vyote vya afya vinafungwa na…

12 December 2025, 22:57

Wanahabari watembelea miradi ya bilioni 57 Kigoma

Serikali katika Manispaa ya Kigoma Ujiji imeendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ili kusogeza karibu huduma kwa wananchi Na Mwandishi wetu Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari Mkoani Kigoma wamefanya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo inayotekelezwa Manispaa…

10 December 2025, 13:19

Kasulu yatajwa kuwa mfano bora uwajibikaji wa miradi

Wilaya Kasulu imeendelea kuwa mfano bora kwa uwajibikaji na mshikamano katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo Na Hagai Ruyagila Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma, ambaye ni Katibu tawala wa wilaya ya Kasulu Bi. Theresia Mtelewe, amesema wilaya…

26 November 2025, 7:15 am

Wafanyabiashara waaswa kukatia bima biashara zao.

“Bima hizo zitawasaidia kupata fidia endapo utakutana ana majanga yatakayoharibu biashara” Na Godfrey Mengele Wafanyabiashara wanaojishughulisha na shughuli za sekta isiyo rasmi ikiwamo bodaboda, mamalishe, wauza mitumba na makundi mengine wametakiwa kujiunga na huduma za bima ili kujilinda na majanga…

20 November 2025, 11:36 am

Watakiwa kumgeukia Mungu,badala ya kujitoa uhai

Kwa mujibu wa taarifa zilizokusanywa na Radio Sengerema hivi karibuni matukio ya watu kujiua yanaonesha kuongezeko kwa kasi katika wilayani Sengerema. Na.Emmanuel Twimanye Wananchi Wilayani Sengerema mkoani Mwanza, wametakiwa kuwa na hofu ya Mungu na kuacha kuchukua maamuzi ya kujiua…

7 October 2025, 5:16 pm

Maisha Meds, Wizara ya Afya waungana huduma za macho Zanzibar

Na Mary Julius. Katika kuadhimisha Siku ya Uoni Hafifu Duniani, Wizara ya Afya Zanzibar kwa kushirikiana na Maisha MedsnaPondeza Foundation wameandaa zoezi maalumu la upimaji wa macho litakalofanyika katika Jimbo la Chumbuni na Jimbo la Mtoni. Zoezi hilo la siku…

24 September 2025, 10:47 pm

Wasira atembelea jimbo la Pangani

“Amani ni hewa unavuta bila ushuru lakini kwakuwa ipo unaweza kuona ni jambo lakawaida ni sawa na amani ikiwemo unaona kama haina haja ila ikitoweka ndiyo unona faida yake.” Wasira Na Cosmas Clement Makamu mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi bara…