Dodoma FM

usaffi

12 July 2023, 1:41 pm

Wananchi Bahi watakiwa kutunza chakula

Mara nyingi jamii imekuwa ikishauriwa kuhifadhi sehemu ya mavuno ya mazao ili kusaidia upatikanaji wa chakula cha kutosha katika familia na kuepusha hali ya kuanza kuwa tegemezi kutokana na kuuzwa kwa mazao yote. Na Mindi Joseph. Wakulima Kata zote Wilayani…

6 July 2023, 4:50 pm

Bahi: Nollo kupeleka umeme, maji shule mpya ya Nagulo

Nollo amesema kufanya hivyo kutaongeza thamani katika mradi huo ulioletwa na serikali kwa lengo la kuwasaidia wananchi. Na Bernad Magawa Mbunge wa jimbo la Bahi Mheshimiwa Kenneth Nollo ameahidi kupeleka huduma ya maji umeme pamoja na kuchonga barabara kuingia shuleni…

28 June 2023, 5:41 pm

Milioni 560 kutatua kero ya maji Bahi

Upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama umeendelea kuwa changamoto katika baadhi ya vijiji mkoani Dodoma. Na Mindi Joseph. Milioni 560 zinatarajiwa kutumika katika kuchimba kisima cha maji ndani ya kijiji cha Uhelela wilayani Bahi mkoani Dodoma ambacho kitahudumia…

22 June 2023, 4:14 pm

Wananchi Chali Isanga waahidiwa shule ya sekondari

Wanafunzi wa kijiji hicho wamekuwa wakilazimika kutembea kilomita zaidi ya 16 kufuata shule ya sekondari Chokopelo. Na Bernad Magawa. Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Comredi Daniel Chongolo ameahidi kujenga shule ya Sekondari kijiji cha chali Isanga wilayani Bahi…

7 June 2023, 5:06 pm

Bahi: Adha ya maji Lamaiti yafikia tamati

Mradi huo uliojengwa kwa hisani ya shirika la Water Mission ukigharimu zaidi ya milioni 800 za kitanzania, ni moja ya miradi mikubwa ya maji wilayani Bahi na umetatua changamoto za maji safi na salama kwa wananchi wa kijiji hicho cha…

5 June 2023, 5:56 pm

DC Gondwe aagiza miradi ya BOOST kukamilika kwa wakati

Pia alitembelea jengo jipya la benki ya NMB wilaya ya Bahi ambalo tayari limekamilika na linatarajiwa kuanza kutoa huduma muda wowote. Na Bernad Magawa. Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa Godwin Gondwe ameagiza miradi yote ya miundombinu ya elimu wilayani…

23 May 2023, 3:52 pm

Miaka 65 ya ndoa: Wafariki na kuzikwa siku moja

Tukio hilo la aina yake limewatafakarisha watu wengi maeneo hayo huku wengine wakidai ni msiba wa aina yake ambao umevuta hisia za watu wengi na kuweka historia kwa waombolezaji waliofika msibani hapo. Na. Bernad Magawa . Katika hali ambayo si…