Dodoma FM

usaffi

8 May 2023, 1:51 pm

Wananchi wajitokeza kuchimba Msingi ujenzi wa Madarasa Bahi

Wakazi wa kijiji cha Bahi sokoni wameeleza kupokea mradi huo kwa furaha na kuiomba serikali kuendelea kupeleka miradi ya maendeleo katika kijiji hicho. Na Bernad Magawa. Wananchi wa kijiji cha Bahi Sokoni wilayani Bahi wamejitokeza kwa wingi kuchimba msingi wa…

4 May 2023, 2:58 pm

Wazazi waombwa kuchangia chakula cha Mchana shuleni

Na Bernad Magawa. Katika kuhakikisha kuwa wanafunzi wa sekondari wanakuwa makini katika ujifunzaji wawapo shuleni hususa ni nyakati za mchana, wazazi wilayani Bahi wameombwa kuwezesha upatikanaji wa chakula cha mchana shuleni ili wanafunzi waweze kujifunza kwa utullivu. Akizungumza na kituo…

27 April 2023, 6:54 pm

Wakulima Kongogo waahidiwa mashine za kisasa

Na Mindi Joseph. Mbunge wa Jimbo la Bahi, Kenneth Nollo amewaahidi wakulima wa Kongogo kuwanunulia mashine za kisasa za kupandia mpunga pindi tu ujenzi wa skimu ya umwagiliaji utakapokamilika 2024. Akizungumza na Wakulima hao amesema wilaya ya bahi imekuwa ikizalisha…

21 April 2023, 2:37 pm

Serikali yajenga nyumba bora za walimu Bahi

Katika hatua nyingine kamati ya Fedha Uongozi na Mipango ilibaini Mapungufu katika ujenzi wa vyumba viwili vya Maabara shule ya sekondari Chonama. Na. Bernad Magwa. Walimu wa shule za msingi wilayani Bahi wameishukuru serikali kwa kuwajengea nyumba bora za makazi…

27 March 2023, 3:42 pm

Wananchi washiriki ujenzi wa barabara Bahi sokoni

Na Bernad Magawa. Wananchi wa kijiji cha Bahi sokoni wamejitokeza kwa wingi kushiriki Ujenzi wa Barabara inayotarajiwa kuunganisha mawasiliano ya wananchi wa kijiji hicho na kitongoji cha Sanduli ambacho hakikuwa na barabara. Barabara hiyo ambayo inajengwa kwa nguvu za wananchi…

20 February 2023, 12:29 pm

DC. Gondwe na kampeni ya kuku Robo matibabu mwaka mzima

Kwa sasa hospitali  hiyo inatoa  huduma zote muhimu zikiwemo huduma za wagonjwa wa nje, huduma za maabara, huduma ya Mionzi, upasuaji kwa wajawazito na  upasuaji wa kawaida, huduma za watoto njiti ambazo hapo awali wananchi walilazimika kuzifuata Dodoma mjini, Na…