Dodoma FM

Ukatili

5 March 2025, 1:14 pm

Tunawezaje kuondoa ukatili wa kiuchumi kwenye familia?

Katika kufahamu suala hilo mwandishi wetu Alfred Bulahya amefanya mahojiano na mkurugenzi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya GFF. Na Alfred Bulahya.Tunapozungumzia ukatili wa kiuchumi ni kitendo cha kikatili ambacho mtu mmoja anaweza kumiliki kwa nguvu vyanzo vya uchumi vya…

March 4, 2025, 4:37 pm

Kifo cha mwanamke mwenye ualbino ufanyike uchunguzi

Siku moja baada ya kuripotiwa kifo cha mwanamke mwenye ualbino Wande Mbiti mkazi wa kijiji cha Nhelegani kata ya Kizumbi Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga ambaye mwili wake umekutwa ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi huku mlango ukiwa umefungwa kwa nje,…

February 24, 2025, 12:48 pm

Ajeruhiwa na sungusungu kwa kudai Ujira wake

“Tunawashikilia Watuhumiwa wawili ambao ni Bundala Dalali na Issack Kulwa kwa kuhusika na tukio hili na upelelezi unaendelea tukikamilisha tutawafikisha Mahakamani,niwaombe Wananchi kuacha kujichukulia sheria mkononi na kama mtu amekamatwa kwa tuhuma ya wizi ni bora akafikishwa polisi,”amesema Magomi. NA…

6 February 2025, 4:58 pm

‘Wanaume washirikishwe mapambano dhidi ya ukatili’

“Wanaume wangeshirikishwa kikamilifu kupinga vitendo vya ukatili ikiwemo ukeketaji vigeisha.” Na Kitana Hamis.Wananchi wilayani Kiteto wameitaka serikali kuwashirikisha wanaume zaidi katika mapambano ya vitendo vya ukatili ili yaweze kupungua. Wakizungumza na Dodoma Tv baadhi ya wananchi wilayani Kiteto mkoani Manyara…

20 January 2025, 10:57 am

Maswa kutumia 47.2b mwaka wa fedha  2025/2026

Bajeti hii imezingatia Miongozo na Sera mbalimbali pamoja na Vipaumbele Muhimu kwa wananchi wa Maswa “DED Maswa Ndugu Maisha Mtipa” Baraza  la  Madiwani  katika  Halmashauri  ya  Wilaya  ya  Maswa  Mkoa   Simiyu  limepitisha  Bajeti  ya  Shilingi   Bilioni 47. 2  kwa  ajili …

January 18, 2025, 5:32 pm

Mwili wa mwanamke wapatikana ukiwa umezikwa

wachungaji wa ng’ombe walikuwa wanachunga katika maeneo hayo ndipo ng’ombe walikimbilia eneo hilo na kuanza kufukua, wachungaji waliwapiga ng’ombe ili watoke ndipo walipogundua kwamba kuna kitu kimefukiwa na kwenda kutoa taarifa Na Sebastian Mnakaya Mwili wa Mwanamke Asha Mayenga anayekadiriwa…

7 January 2025, 10:05 AM

Wanaotarajia kupata mikopo ya 10% wapigwa msasa Masasi

Halmashauri imetoa mafunzo kwa ajili ya wajasiriamali wadogo kwa ajili ya matumizi bora ya fedha ili kuepusha changamoto wakati wa urejeshwaji wa fedha hizo. Na Lilian Martin. Vikundi 28 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu vinavyotarajia kupata mkopo wa…

23 December 2024, 5:36 pm

Wananchi Nala, Chihoni wapatiwa elimu ya kupinga ukatili

Wazazi wanatakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuwalea watoto wao kwa kutenga muda wa kuzungumza nao na kuwajengea uwezo wa kuzungumza kipindi wakipata matatizo. Na Annuary Shaban.Wakazi wa Mtaa wa Nala, Segu Juu, Segu Chini na Chihoni, wamewezeshwa elimu ya…

16 December 2024, 2:16 pm

Wanahabari Pemba waaswa kusoma sheria zao

Licha ya uwepo wa uhuru wa habari duniani lakini bado sheria za habari zinazotumika Zanzibar zinaonekana kubana wanahabari katika kutekeleza majukumu yao. Na Khadija Ali. Waandishi wa habari kisiwani Pemba wametakiwa kuzisoma na kuzifahamu Sheria za habari lengo kujua mapungufu…