Dodoma FM

udugu

12 December 2025, 8:16 pm

Umuhimu wa klinik ya mtoto wakati wote

picha kwa msaada wa AI Na mwandishi wetu Evanda Barnaba Kuhudhuria maadhurio ya kliniki ya mtoto ni jambo la muhimu sana kwa mzazi, kwani ni fursa ya kipekee ya kufuatilia maendeleo ya afya ya mtoto wako. Kliniki inatoa nafasi ya…

12 December 2025, 1:55 pm

Upatikanaji wa maji Nyang’hwale ni asilimia 77.4

RUWASA imetakiwa kuhakikisha inapunguza upotevu wa maji na malalamiko ya bili kwa kufunga mita za wateja majumbani badala ya sehemu zilizo mbali na makazi yao. Na Mrisho Sadick: Hali ya upatikanaji wa maji safi na salama wilayani Nyang’hwale mkoani Geita…

8 December 2025, 5:11 pm

Magari ya shule yakaguliwa Manyara

Wamiliki wa magari ya shule mkoani  Manyara wametakiwa  kusimamia magari ya kubeba wanafunzi  na kuhakikisha magari hayo ni mazima ili kuondokana na ajali zinazo sababishwa na magari mabovu. Mkuu wa kikosi cha usalama bara barani mkoa wa Manyara Michael Mwakasungula,…

5 December 2025, 22:56

Kigoma DC yatwaa tuzo uwasilishaji bora hesabu za fedha 2024

Nidhamu ya kitaaluma na utekelezaji wa maelekezo ya serikali katika kuimarisha mifumo ya fedha na uwazi wa taarifa vimetajwa kuchochea Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma kutunukiwa tuzo ya mshindi wa pili ya uwasilishaji bora wa fedha kwa mwaka 2024 Na…

5 December 2025, 10:58 am

Wazazi waaswa kuwalinda watoto wakati wa likizo

“Ulinzi kwa watoto wakati wa likizo ni vyema ukazingatiwa ili kuwalidhi shidi ya matukio ya ukatili” Na Fredrick Siwale Wazazi na Walezi Halmashauri ya Mji wa Mafinga Mkoani Iringa wametakiwa kuwalinda Watoto wao kipindi cha likizo ya mwisho wa mwaka…

5 December 2025, 09:05

Nyavu haramu 197 zateketezwa Uvinza

Mkuu wa Wilaya Uvinza Mkoani Kigoma Dinah Mathamani amesema wataendelea kufanya oparesheni ili kubaini na kukamata nyavu haramu zinazotumiwa na wavuvi ndani ya ziwa Tanganyika Na Mwandishi wetu Serikali wilayani Uvinza imeziteketeza nyavu haramu 197 katika Kijiji cha Rubengela kata…

26 November 2025, 10:46 am

MTAKUWWA kutokomeza ukatili kwa vitendo Iringa

Matukio ya ukatili yamekuwa yakidumaza ustawi wa watoto na wanawake. Na Joyce Buganda Wadau na Wajumbe wa mpango wa Taifa wa kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto MTAKUWWA sehemu ya 2 wametakiwa  kutumia uzoefu wao katika kuelimisha jamii  kupinga…

25 November 2025, 1:19 pm

Ukatili wa kijinsia bado ni changamoto

Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Kupinga Ukatili wa Kijinsia Duniani, wananchi wameendelea kukumbushwa umuhimu wa kulinda haki, usalama na utu wa wanawake, wanaume na watoto katika jamii Akizungumza Orkonerei fm kupita kipindi cha mchaka mchaka kwa njia ya simu Bi…