Dodoma FM
Dodoma FM
8 June 2025, 7:08 pm
‘Sisi tuna uzoefu wa minada ya korosho hapa Tanga lakini baadae korosho zikawa zinatoroshwa kwenda nje ya mkoa wetu, ni kwa sababu tulifanya mnada mara moja haukuendelea.’ Na Cosmas Clement Mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Dkt Batilda Buriani leo…
2 June 2025, 12:26 pm
Picha ya matofali yaliyofyatuliwa kwenye makazi ya watu. Picha na Samwel Mbugi “Hairuhusiwi kuchoma tofali katikati ya makazi ya watu” Na Samwel Mbugi Wananchi wanaojishughulisha na ufyatuaji tofali katika eneo la Mpanda hotel wametakiwa kuzingatia utaratibu na sheria za mazingira …
30 May 2025, 2:56 pm
Jeshi la Polisi limeendesha mafunzo kwa madereva 800 wa magari ya utalii Arusha, kuelekea msimu wa utalii ili kuhakikisha sheria za barabarani zinafuatwa na usalama wa watalii unaimarishwa. Na Nyangusi Ole Sang’ida Zaidi ya madereva 800 wa magari ya utalii…
5 March 2025, 17:51
Naibu waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi atimiza Hadi yake kusaidia ujenzi wa Bweni Na Hobokela Lwinga Siku chache baada ya Naibu Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi…
3 March 2025, 10:08
Katika kuadhimisha kilele cha siku ya mwanamke Duniani wanawake mkoani Mbeya watumia nafasi hiyo kuwatembelea wahitaji mbalimbli. Na Ezra Mwilwa Kuelekea siku ya mwanamke duniani Umoja wa kina mama mtaa wa Block D Ilomba wametembelea gereza la Ruanda upande wa…
25 February 2025, 6:17 pm
Kiwanda cha kuzalisha chaki kilichopo wilayani Maswa mkoani Simiyu mbioni kuzalisha chaki zitakazokuwa mwarobaini kwa mahitaji ya chaki nchini kwa shule za msingi na sekondari. Na, Alex Sayi Halmashauri ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu iko mbioni kuanza uzalishaji wa…
23 February 2025, 07:50
Katika Hali isiyo ya kawaida Baba anadaiwa kutoroka na mtoto wa miezi Saba, kwa madai ya MKE ametoa mwimba kwa njia za kishirikina. Na Ezekiel Kamanga Mariam Omary Said(21) mkazi wa Mabatini Jijini Mbeya anamtafuta mwanawe Muzdalifa Adamu Hinju jinsi…
4 February 2025, 09:45
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU mkoa wa Geita imebaini mapungufu makubwa kwenye miradi 4 yenye thaani ya shilingi bilioni 1 milioni 45 na laki 6 kati ya miradi 34 yenye thamani ya shilingi bilioni 16.6 iliyofanyiwa ufuatiliaji mkoani humo…
31 December 2024, 07:52
Watoto ni taifa la kesho kila mtu anawajibu wa kumlinda mtoto kwa namna yoyote na kuhakikisha anakuwa salama. Na Hobokela Lwinga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera ameitaka jamii kuendelea kulinda na kuwathamini watoto iliwaweze kutimiza ndoto zao…
24 November 2024, 6:58 pm
Salumu Mtelela amezielekeza taasisi zote za serikali kuachana na matumizi ya mkaa na kuni badala yake wahakikishe wanatumia nishati safi ya kupikia ikiwemo gesi na umeme. Na Adelinus Banenwa Katika kuendeleza kampeni ya Rais Samia Suluhu Hassan ya matumizi ya…