Dodoma FM

Nafasi ya wanawake

24 July 2023, 5:27 pm

Historia kuanzishwa mashamba ya mpunga wilayani Bahi

Je, kipi kilichangia msukumo wa kuanzishwa kwa mashamba ya mpunga wilayani Bahi? Na Yussuph Hassan Tunaendelea kuitazama historia ya wilaya ya Bahi iliyopo mkoani Dodoma na leo tunaangalia historia ya kuanzishwa kwa mashamba ya mpunga wilayani humo.

21 July 2023, 5:25 pm

Historia ya kilimo cha mpunga wilayani Bahi

Msimuliaji wetu anaendelea kutufahamisha kuanzishwa kwa mashamba haya na lini yalianzishwa. Na Yussuph Hassan. Tunaendelea kuangazia  historia ya wilaya ya Bahi na leo tutafahamu historia ya mashamba ya mpinga katika wilaya hii.

12 July 2023, 1:41 pm

Wananchi Bahi watakiwa kutunza chakula

Mara nyingi jamii imekuwa ikishauriwa kuhifadhi sehemu ya mavuno ya mazao ili kusaidia upatikanaji wa chakula cha kutosha katika familia na kuepusha hali ya kuanza kuwa tegemezi kutokana na kuuzwa kwa mazao yote. Na Mindi Joseph. Wakulima Kata zote Wilayani…

6 July 2023, 4:05 pm

Vijana 300 kunufaika na mradi wa kilimo Bahi

Vijana wametakiwa kuimarisha vikundi vyao kwani tayari vimesajiliwa na vinatambulika kisheria. Na.  Bernad Magawa Vijana  300 wilayani Bahi watanufaika na mradi wa kilimo kwanza unaowashirikisha vijana kutekeleza shughuli za kilimo kupitia Mashamba Darasa ili kusaidia jamii kuwa na uhakika wa…

27 June 2023, 4:38 pm

Kilimo cha umwagiliaji chachu uhakika wa chakula

Mwema ametumia nafasi hiyo kuwahamasisha wananchi kujiingiza kwenye kilimo cha umwagiliaji ili kusaidia upatikanaji wa chakula kwa wingi na kwa uhakika. Na Bernadetha Mwakilabi. Mwakilishi wa shirika la chakula duniani (WFP) nchini Tanzania Bi Sarah Gordon- Gibson amesema kuwa kilimo…

21 June 2023, 3:47 pm

Wakulima wa alizeti Bahi walalamika kuporomoka kwa bei

Wakulima hao wanasema wanalazimika kuuza alizeti kwa bei ndogo ili waweze kupata fedha za kujikimu . Na Bernad Magawa. Wakulima wa zao la alizeti wilayani Bahi wamelalamikia kuporomoka kwa bei ya zao hilo ambalo limejipatia umaarufu hivi karibuni na kuwa…

9 June 2023, 12:00 pm

Kikundi cha vijana Mundemu kunufaika na kilimo cha nyanya

Kikundi hicho kimepokea mkopo wa shilingi milioni nane kutoka halmashauri ya wilaya ya Bahi. Na Bernad Magawa. Kikundi cha kilimo tija cha vijana kijiji cha Mundemu kata ya Mundemu wilayani Bahi kinatarajia kunufaika na kilimo cha nyanya kupitia kilimo cha…

9 June 2023, 8:38 am

Udhibiti sumukuvu kukuza mnyororo wa thamani katika biashara

Kupitia mafunzo hayo washiriki wameweza kufahamu maana ya sumukuvu na madhara yake kwa afya ya binadamu. Na Bernadetha Mwakilabi. Wadau mbalimbali wa kilimo cha karanga na mahindi katika kata ya Mtanana wilayani Kongwa wamepatiwa mafunzo juu ya udhibiti wa sumukuvu…