Dodoma FM

michezo

Mwajuma Bakari Ally mtia nia wa nafasi ya ubunge jimbo la simanjiro 2025

3 October 2025, 12:19 pm

Vijana wa kike jamii ya wafugaji wanaingia kwenye siasa?

Na Dorcas Charles-Kurunzi Maalum Idadi ndogo ya vijana wa kike kutoka jamii za kifugaji katika Wilaya ya Simanjiro wanaojitokeza kugombea nafasi za uongozi inazua maswali mengi juu ya ushiriki wa wanawake vijana katika siasa. Hali hii inajiri wakati nchi ikiendelea…

2 October 2025, 4:23 pm

Pambano la ngumi kuanza rasmi Oktoba 18

Picha ni baadhi ya mabondia watakaoshiriki katika Kibaigwa vitasa mitano tena. Picha na Hamis Makila. Kwa mujibu wa mratibu, mabondia mbalimbali kutoka maeneo tofauti ya mkoa wa Dodoma na nje yake wamethibitisha kushiriki. Na Hamis Makila. Kuelekea pambano la ngumi…

1 October 2025, 5:40 pm

Ratiba ya ligi ya mkoa kwa mwaka 2025/2026 yawekwa wazi

Ligi hiyo ambayo hufanyika kila mwaka inalenga kuinua vipaji vya wachezaji chipukizi pamoja na kuongeza hamasa ya michezo katika jamii ya Dodoma. Picha na Hamis Makila. Hadi hivi sasa imechezwa michezo miwili na ligi inatajaria kuendelea Oktoba 04 na 05.…

1 October 2025, 4:10 pm

Maadhimisho ya Siku ya Kichaa cha Mbwa Duniani

Na Dorcas Charles Kila Septemba 28, dunia huadhimisha Siku ya Kichaa cha Mbwa Duniani ili kutoa elimu juu ya madhara ya ugonjwa huu na namna unavyoweza kuzuilika. Afisa Mifugo wa Kata ya Terrat, Petro Mejooli Lukumay, amesema chanjo ya mbwa…

30 September 2025, 2:25 pm

Tesha: Limeni kilimo chenye tija

Afisa kilimo kata ya Makanyagio Philemon Tesha. Picha na Anna Mhina “Mimi nachukulia kilimo ni ile hatua ya mwisho ya kijana aliyefeli maisha” Na Anna Mhina Wakulima mkoani Katavi wametakiwa kuachana na kilimo cha mazoea na badala yake wajikite kulima…

24 September 2025, 6:22 pm

Wakazi wa Kilosa watakiwa kuzingatia ufugaji bora wa mbwa

Maadhimisho ya wiki ya kichaa cha mbwa yanatarajiwa kufanyika 28 Septemba 2025 katika kijiji cha Ruhembe ambapo yamebebwa na kauli mbiu isemayo “Chukua hatua sasa,Wewe, mimi, Jamii”. Na Beatrice Majaliwa Kuelekea katika Wiki ya Kichaa Cha Mbwa inayotarajiwa kuadhimishwa tarehe…

22 September 2025, 12:23

TADB kuwezesha wafugaji na wakulima mikopo Kigoma

Wafugaji na wakulima wameomba Serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo kuendeleaa kuwapa mikopo ili waweze kuendesha shughuli zao na kuongeza thamani ya bidhaa wanazozalisha Na Tryphone Odace Benki ya Kilimo Tanzania TADB imesema inaendelea kufanya mapinduzi ya kilimo kwa kuwawezesha…

September 17, 2025, 11:29 am

Nyasa waaswa kuchangamkia fursa za bandari

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mhe. Perresi Magiri amewaasa wananchi wa Nyasa kuwa na tabia ya kuzichungulia fursa mbalimbali kwa kutazama changamoto zilizopo katika jamii. Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mhe. Perresi Magiri amewaasa wananchi wa Nyasa kuwa na tabia…