Dodoma FM

michezo

12 January 2021, 8:16 am

Baobab Queens ni wa moto kweli kweli

Dodoma Timu ya Baobab Queens ya Dodoma imeibuka na ushindi wa bao 6-1 dhidi ya TSC Queens ya Mwanza katika mechi ya ligi kuu soka ya Wanawake iliyopigwa katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Ikiwa na kikosi cha wachezaji…

19 December 2020, 7:20 am

Abdulaziz Makame kuondoka Yanga

Dar es Salaama. KIUNGO mkabaji wa Klabu ya Yanga Abdulaziz Makame yupo kwenye mpango wa kutua kwa mkopo ndani ya Klabu ya Polisi Tanzania.  Taarifa zinadai kuwa mpaka sasa ni timu mbili zinahitaji kupata huduma yake ikiwa ni Polisi Tanzania …

14 December 2020, 10:43 am

Fainali za CHAN 2021 Cameroon mambo yameiva

Younde, Cameroon. Cameroon sasa wako tayari kuwa mwenyeji wa CHAN 2020 baada ya Kamati ya Utendaji ya CAF kuidhinisha miundombinu yake kutoka kwa ukaguzi wa mwisho ulioongozwa na Baf Anthony Baffoe, Naibu Katibu Mkuu anayehusika na mpira wa miguu na…

14 December 2020, 9:52 am

TPBRC yaandaa mapambano ya kuaza mwaka 2021

Dar Es Salaam. Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania TPBRC imeandaa mapambano kabambe ya ngumi ya kuanza mwaka. Mapambano hayo yanatarajiwa kufanyika siku ya Valentine Februari 14,2021 katika ukumbi wa Viwanja vya Sabasaba jijini Dar Es Salaam. Mratibu wa mapambano…

12 December 2020, 10:56 am

Okwi akutwa na maambukizi ya virusi vya Corona

Jeddah, Saudi Arabia. Klabu ya Al-Ittihad imethibitisha kuwa mshambuliaji wake raia wa Uganda Emmanuel Okwi ataukosa mchezo wa leo wa kwanza wa Ligi Kuu nchini Misri dhidi ya Pyramids Fc kutokana na kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha…

12 December 2020, 10:42 am

Micho akana mashtaka A.Kusini

Johanesburg, Afrika Kusini. Kocha Mkuu wa Timu ya taifa ya Zambia Milutin Sredojevic ‘Micho’ amekana mashtaka ya unyanyasaji wa kijinsia nchini Afrika Kusini. Kocha huyo mkongwe barani Afrika, mwenye umri wa miaka 51 alipandishwa katika Mahakama huko New Brighton jana…

10 December 2020, 9:26 am

Sven aridhishwa na wachezaji wake

Kocha mkuu wa klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC Sven Vandenbroeck amefurahishwa na jinsi kikosi chake kilivyocheza dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu jana usiku (Desemba 09), Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es salaam.Kwenye mchezo huo uliokua…

8 December 2020, 7:55 am

Baloteli ajiunga na Monza ya daraja la pili Italia

Monza, Italia. Mshambuliaji wa Kimataifa wa Italia, Mario Balotelli ambaye amekuwa bila klabu tangu majira ya joto, Sasa anarejea Katika Soka akijiunga na klabu cha daraja la pili huko Italia AC Monza inayomilikiwa na Silvio Berlusconi na Adriano Galliani. Klabu…

7 December 2020, 9:06 am

Ntibazonkiza aishuhudia Yanga ikiondoka na pointi tatu

Dar Es Salaam. Mshambuliaji mpya wa klabu ya soka ya Yanga Said Ntibazonkiza hapo jana alikaa jukwaani kuishuhudia timu yake ikiibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya maafande wa Ruvu Shooting. Ntibazonkiza anatarajia kuanza kuitumikia Yanga kuanzia Sesemba 15…

5 December 2020, 10:50 am

Vieira atimuliwa Nice

Nice, Ufaransa. Klabu ya Nice imemfuta kazi kiungo wa zamani wa Ufaransa na Arsenal, Patrick Vieira kama kocha wao Mkuu baada ya miaka miwili na nusu ndani ya Klabu hiyo ya Ligue 1.Klabu hiyo ya Ufaransa imepoteza michezo mitano mfululizo,…