Dodoma FM

Michezo na burudani

14 October 2023, 1:56 pm

Serikali yatoa maagizo kukabiliana na el nino

Kikao hicho kilihitimishwa kwa Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko kukabidhi Mpango wa Taifa wa Dharura wa kuzuia na kukabiliana na madhara ya El nino kwa mawaziri na viongozi waliohudhuria mkutano huo. Na Mindi Joseph. Mamlaka ya hali ya hewa nchini…

5 September 2023, 2:40 pm

Maji yakwamisha muitikio wa upandaji miti

Serikali pamoja na wadau mbalimbali wameendelea kuhamasisha jamii juu ya suala la upandaji wa miti ambapo kwa mujibu wa wataalam wanaeleza kuwa miti imekuwa na faida nyingi katika kutunza mazingira. Na Diana Masai. Pamoja najitihada mbalimbali za wadau wa mazingira…

30 August 2023, 5:25 pm

DUWASA yaeleza mikakati yake ya kuboresha mfumo wa maji taka

DUWASA inasema tayari bajeti imekwisha tengwa kwaajili ya kuanza ikaranbati huo. Na Yussuph Hassan. Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dodoma DUWASA, imeweka wazi mikakati yao katika kuhakikisha inaboresha mtandao wa maji taka ambapo tayari fedha imeshategwa kwa ajili…

3 August 2023, 2:08 pm

Vijana watakiwa kujikita katika utunzaji mazingira

Na Fred Cheti. Wito umetolewa kwa vijana kushiriki katika utunzaji wa mazingira ikiwemo kushiriki katika kampeni mbalimbali za upandaji miti ili kusaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Maendeleo ya vijana Mkoa…

2 August 2023, 3:43 pm

Wakazi wa Fatina walalamika maji taka kutiririka mtaani

Hivi karibuni kumekuwa na changamoto ya kuzibuka kwa chemba za maji taka na kutiririsha maji katika mtaa wa Fatina, ambapo kwa mujibu wakazi wa eneo hilo chemba hizo huchukuwa takribani hadi muda wa siku 10 katika kuzibuliwa. Na Mariam Msagati.…

28 July 2023, 1:11 pm

Wadau wa mazingira watakiwa kuanza kuandaa vitalu vya miti

Ama kweli penye nia pana njia haijalishi ni kianganzi ama masika lakini zoezi la upandaji miti limeendelea kufanyika. Na Mindi Joseph. Mkuu wa wilaya ya Dodoma Jabiri Shekimweri amewaomba wadau wa mazingira kuanza kuandaa vitalu vya upandaji miti kwa msimu…

26 June 2023, 1:37 pm

NEMC, TBS zakutana kujadili katazo vifungashio vya plastiki

Vifungashio visivyo kidhi ubora vinatajwa kuleta athari katika mazingira. Na Fred Cheti. Baraza la uhifadhi na usimamizi wa  mazingira (NEMC) limekutana na shirika la viwango nchini (TBS) na kufanya kikao kazi kwa lengo la utekelezaji wa katazo la matumizi ya…