Dodoma FM

Michezo na burudani

5 May 2023, 2:45 pm

Wawekezaji watakiwa kufanya tahmini ya athari za mazingira

Na Fred Cheti. Baraza la Usimamizi na uhifadhi wa Mazingira (NEMC) limewataka wawekezaji wote  wa miradi ya maendeleo nchini kufanya tathimini ya athari kwa mazingira katika miradi yao ili kuepusha migogoro itakayotokana na uchafuzi wa mazingira. Hayo yameelezwa na Bwn.…

3 May 2023, 1:59 pm

Wananchi Ng’ambi watakiwa kutunza mazingira

Amesema mazingira yakitunzwa vema yanaweza kutengeneza fursa mbalimbali kwa wananchi. Na Fred Cheti. Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Mhe. Sophia Kizigo amewataka wananchi wa kijiji cha Ng’hambi wilaya humo kuwa mabalozi wa utunzaji wa mazingira illi kutengeneza fursa nyingi za…

2 May 2023, 3:49 pm

Wakazi wa Msalato waomba mazingira ya mnada kuboreshwa

Mnada wa nyama msalato ni miongoni ma maeneo maarufu ya asili ambapo wananchi hufika kwa ajili ya kujipatia nyama choma . Na Thadei Tesha. Wakazi wa Msalato Jijini Dodoma wameiomba serikali  kuboresha mazingira ya  eneo la mnada wa msalato ambao…

2 May 2023, 1:23 pm

Wafanyabiashara watakiwa kutunza mazingira

Mifuko ya plastiki ilipigwa marufuku kutumika hapa chini hii ni kutokana na wataalamu mbalimbali wa maingira kubainisha kuwa matumizi ya mifuko hiyo huongoza katika suala la uchafuzi wa mazingira. Na Thadei Tesha. Wafanyabiashara jijini Dodoma wametakiwa kuendelea kutunza mazingira kwa…

18 April 2023, 6:06 pm

NEMC yaanza oparesheni kudhibiti vifungashio visivyo takiwa

Mnamo tarehe 1 Juni, 2019, Serikali ilipiga Marufuku Uzalishaji; Uingizaji nchini, Usafirishaji nje ya nchi; Usambazaji; na Matumizi ya mifuko ya plastiki kwa kile kinachodaiwa kuwa mifuko hiyo ni chanzo cha uchafuzi wa mazingira. Na Fred Cheti. Serikali kupitia baraza…

11 April 2023, 1:00 pm

Serikali yapiga marufuku matumizi ya vifungashio vya plastiki

Na Fred Cheti. Serikali hivi karibuni ilipiga marufuku matumizi yasiyo sahihi ya mifuko  laini ya plastiki kutumika kama vibebeo vya bidhaa huku jambo hilo likitajwa kuwa ni ukiukwaji wa sheria  ambapo imeahidi  kuwachukulia hatua wanaofanya hivyo Baada ya tamko hilo…