Dodoma FM
Dodoma FM
27 November 2025, 3:02 pm
Matukio ya watu kuuawa kwa kukatwa mapanga wilayani Sengerema yalidhibitiwa kwa muda mrefu, jambo lililowafanya wananchi kushituka baada ya tukio la hivi karibuni kutokea katika kata ya Sima Na,Emmanuel Twimanye Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Kajanja Mtebi (50) mkazi…
24 November 2025, 9:10 pm
Je, unatumia mitandao ya kijamii kwa burudani tu, au umetambua fursa ya soko iliyopo? Katika kipindi chetu cha KURUNZI MAALUM, tumechambua kwa kina namna ya kutumia ongezeko la watumiaji wa intaneti nchini kufanya biashara na kujiingizia kipato. Usikose: Kupata maana…
November 20, 2025, 3:02 pm
Asajile amekuwa akiwasoma Ng’ombe wake tabia hii humsaidia kupata maziwa kwa wingi zaidi Na Anyisile Fredy MKAZI na mfugaji wa ng’ombe wa maziwa mjini Vwawa Mbozi Mkoani Songwe, Mikaya Asajile amesema amewagundua ng’ombe wake kwamba wanapenda muziki wakati wa kukamuliwa.…
October 28, 2025, 3:58 pm
”kuitunza amani tulionayo ni pamoja na kuzingatia sheria taratibu na kanuni za nchi yetu” Na Sebastian Mnakaya Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu wilayani Kahama mkoani Shinyanga amewataka kuitunza amani tulionayo kwa kuzingatia sheria taratibu na kanuni za nchi yetu,…
October 28, 2025, 3:42 pm
Wilaya ya Kahama iko salama, wananchi jitokezeni kupiga kura Na Sebastian Mnakaya Kuelekea Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika oktoba 29, 2025, Vijana wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamehimizana kushiriki uchaguzi mkuu pamoja na kulinda amani na utulivu na kuachana na maandamano. Hayo…
8 October 2025, 5:28 am
“Suala hili tumekuwa tukilikomesha lakini inaonekana bado linajirudia kutokana na baadhi ya mawakala kuendelea kukiuka taratibu” – Mwenyekiti wa stendi Nyankumbu Na: Kale Chongela Baadhi ya wamiliki wa magari ya abiria katika kituo kidogo cha magari ya abiria kilichopo kata…
15 September 2025, 5:52 pm
Nimekuwa serikalini kwa muda mrefu hivyo nina uzoefu wa namna ya kufuatilia na kuzitafutia ufumbuzi changamoto zinazowakabili wananchi wa Jimbo la Maswa Mashariki, ninachoomba wanipe ridhaa ya kwenda kuwasemea huko Bungeni ” Dkt George Lugomela “ Mgombea Ubunge kupitia chama…
31 July 2025, 3:34 pm
Wivu wa mapenzi umemusababishia Bwn. Bagandosa kusakwa na jeshi la polisi baada ya kumuua mwanaume anayedaiwa kuwa mchepuko wa mke wake, na kutokomea kusiko julikana. Na;Emmanuel Twimanye Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, linamsaka Bagandosa Silas Menelo, kwa tuhuma za…
30 July 2025, 10:05 am
Shirika la Under the Same sun kwa kushirikiana na tasisi ya Village of Hop (VOH) wamefanya kumbukizi ya kuwakumbuka watu wenye ualbino waliouawa na kukatwa viungo vyao nchini, tukio hilo limefanyika mjini Sengerema kwenye mnala wa nithamini ulio na majina…
17 July 2025, 2:12 pm
Baadhi ya wananchi walioahidiwa mkopo. Picha na Samwel Mbugi “Tangu tulipokabidhiwa hundi mpaka sasa hela hazijaingizwa bank” Na Samwel Mbugi Baadhi ya wananchi ambao ni wanufaika wa mkopo wa asilimia kumi wametoa malalamiko yao kwa serikali kutopata mkopo huo ambao…