Dodoma FM

michazo

9 March 2023, 12:00 pm

TPF Net kuendeleza kudhibiti na kutokomeza vitendo vya ukatili

TPF Net limesema limejipanga kushirikiana na wadau mbalimbali katika kudhibiti na kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia. Na Fredi Cheti. Jeshi la Polisi nchini kupitia Mtandao wa polisi wanawake nchini TPF Net limesema limejipanga kushirikiana na wadau mbalimbali katika kudhibiti…

8 March 2023, 4:04 pm

Wanawake watakiwa kusimama imara kupinga ukatili

Wanawake wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kukemea na kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia vinavyo endelea katika jamii. Na Mariam Kasawa. Wanawake wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kukemea na kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia vinavyo endelea katika…

19 December 2022, 8:47 am

Wadau watakiwa kupaza sauti dhidi ya vitendo vya ukatili

Na; Alfred Bulahya. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu ameitaka jamii, wadau kwa nafasi zao kupaza sauti dhidi ya vitendo vya ukatili ambavyo vimekuwa vikitokea  katika maeneo mbalimbali nchini. Dkt. Jingu ameyasema hayo…

1 December 2022, 7:49 am

Mila na desturi kandamizi bado ni hatari kwa jamii

Na; Lucy Lister. Wakati Tanzania ikiungana na mataifa mengine Duniani kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia wananchi jijini Dodoma wameeleza kuwa,bado kuna mila na desturi zinazokandamiza ustawi wa mtoto wa kike na mwanamke ikiwemo ukeketaji,kurithi wajane na kutopewa…

11 May 2022, 2:02 pm

Wasichana wahofia kuripoti vitendo vya ukatili

Na;Mindi Joseph. Imeelezwa kuwa asilimia kubwa ya wasichana hawaripoti vitendo vya ukatili wa kijinsia wanavyofanyiwa kwa kuhofia kudhalilika. Taswira ya habari imezungumza na Mkaguzi wa polisi Christer yasinta Mkuu wa dawati la jinsia na watoto Polisi Mkoa wa Dodoma ambapo…