Dodoma FM
Dodoma FM
2 October 2025, 7:58 pm
Serikali yaombwa kutoa ushirikiano kwa watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi. Na Zabron G Balimponya Serikali imeombwa kuendelea kutoa ushirikiano wa kutosha wa kutambua watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi na kuwatambua wale wanaoweza kuwasaidia kutoka katika hatali hiyo ili watoto hao…
2 October 2025, 11:39 am
Watanzania wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, 2025, kuchagua viongozi watakaosimamia maendeleo ya taifa. Wito umetolewa na Nabii Nicolous Suguye wakati wa ziara yake kwenye vituo vya watoto wenye mahitaji maalum, akisisitiza umuhimu wa ushiriki wa wananchi katika…
2 October 2025, 08:53 am
Nabii Ncolous Suguye ametoa msaada wa viti mwendo na chakula kwa watoto wenye mahitaji maalum katika Kituo cha Upendo na Shule ya Msingi Rahaleo, Mtwara, kabla ya kuanza mkutano wa Injili utakaofanyika Oktoba 2, 2025, katika viwanja vya Sabasaba. Na…
1 October 2025, 6:22 pm
Picha Na Joyce Elias Wazazi wa watoto wanaosoma katika shule ya msingi terrat wilaya ya simanjiro wamehimizwa kushirikiana na uongozi wa shule kuboresha huduma za chakula kwa wanafunzi. Akizungumza Katika kikao cha wazazi na uongozi wa shule hiyo Mwenyekiti wa…
October 1, 2025, 4:36 pm
Kuelekea msimu wa mvua baadhi ya wafanyabiashara na wakazi katika mtaa wa soko la Kwashayo katika Halmashauri ya Mji Kasulu wameomba kutafutiwa suluhisho la kudumu kuhusu Dampo la taka linalopatikana maeneo hayo. Na:Irene Charles Baadhi ya wafanyabiashara na wakazi katika…
29 September 2025, 4:34 pm
Katika mjadala tumechambua changamoto, mitazamo ya kijamii na nafasi halisi, tukitazama namna jamii inavyoweza kuunga mkono usawa wa kijinsia kwenye uongozi. Na Dina Shambe na Edward Lucas Hili ndilo swali tulilojadili katika kipindi cha ijumaa kilichowakutanisha chifu wa sizaki, mchungaji…
29 September 2025, 1:27 pm
Sikiliza makala haya maalumu kuhusu uelewa wa jamii kuhusu uzazi wa mpango hatua ya kujenga jamii na uchumi. Na Dinnah Shambe Katika jamii nyingi, suala la uzazi wa mpango limeendelea kuwa jambo lenye mjadala mkubwa, hasa kutokana na mitazamo tofauti…
29 September 2025, 12:44 pm
Mgombea udiwani Kata ya Chuno kupitia CCM, Mariamu Chimbwahi, amewataka wanawake kuanza uongozi ngazi za chini ili kujijengea uzoefu, huku akihimiza ushirikiano baina yao na kushiriki katika shughuli za kiuchumi ili kujitegemea Na Musa Mtepa Wanawake wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi…
27 September 2025, 7:31 pm
Na Wilson Makalla Mkuu wa wilaya ya Tabora, Upendo Wella amezindua Dawati Maalum la Uwezeshaji Biashara kwa Wananchi mkoa wa Tabora siku ya Jumanne Septemba 23, 2025 katika Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA ) Mkoa wa Tabora na…
27 September 2025, 6:30 pm
Na Wilson Makalla Matumizi ya lugha ya Kiswahili katika kuendesha kesi yameendelea kuibua maoni mkoani Tabora ambapo wanasheria na wananchi wametoa maoni kuhusu nafasi ya Kiswahili kwenye mfumo wa kimahakama. Wakili wa Kujitegemea kutoka Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Akram…