Dodoma FM

mazingira

October 16, 2025, 8:02 am

TAKUKURU Yagusa Uhai wa Watoto Njiti Songwe

Kwa ajili ya watoto  wachanga wanaozaliwa kabla ya muda (njiti) Na Ezekiel Mwinuka Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU nchini Crispin Chalamila amekabidhi vifaa hivyo leo na kwamba vimenunuliwa kwa michango ya watumishi nchini wa Takukuru nchini kwa lengo la kuunga juhudi…

15 October 2025, 18:56 pm

Wanasalamu Kanda ya Kusini wamsaidia mwenye ulemavu

Wanasalamu Kanda ya Kusini kwa kushirikiana na Jamii FM wametoa msaada wa godoro na vifaa vya shule kwa Mzee Salumu Somba, mlemavu wa macho na mkazi wa Mnyengedi, baada ya kuguswa na hali yake kupitia kipindi cha Sikika. Wametoa wito…

13 October 2025, 14:49 pm

Kijiji chaingiwa hofu ya ushirikina mkoani Mtwara

Taharuki yatanda Magomeni Nyasi baada ya kugunduliwa kifaa kisichojulikana chenye hirizi, kinachodhaniwa kuhusika na imani za kishirikina. Wakazi wataka uchunguzi wa kina kufuatia ongezeko la matukio ya aina hiyo kijijini Na Musa Mtepa Mtwara –Wakazi wa kijiji cha Magomeni Nyasi,…

10 October 2025, 09:20 am

Malezi duni yatajwa sababu ya mimba mashuleni Mtwara

Mdahalo ulioandaliwa na Jamii FM umebainisha kuwa mimba mashuleni husababishwa na malezi duni, kutokuwepo kwa uangalizi wa karibu kutoka kwa wazazi, pamoja na ushiriki wa jamii hafifu katika kulinda watoto wa kike Na Musa Mtepa Inaelezwa kuwa ukosefu wa malezi…

9 October 2025, 21:49 pm

Viongozi Mkunwa wagusa maisha ya mzee Somba

Viongozi wa Kata ya Mkunwa wametoa msaada wa godoro, sabuni na taa kwa familia ya Mzee Salumu Somba ili kusaidia kupunguza changamoto za maisha zinazoikabili familia hiyo. Na Musa Mtepa Viongozi na watendaji wa vijiji katika Kata ya Mkunwa wametoa…

9 October 2025, 16:31 pm

Mkaa wenye moto waunguza nyumba Mangamba chini

Nyumba ya mkazi wa Mangamba Chini, Bw. Roboti, imeteketea kwa moto asubuhi ya Oktoba 8, 2025, kutokana na mkaa uliokuwa bado una moto. Jeshi la Zimamoto lilifika kwa haraka kuzima moto huo, huku viongozi na majirani wakitoa pole na elimu…

8 October 2025, 9:59 pm

Vijana kukomesha vitendo vya ukatili Mbeya

jamii imetakiwa kujenga utaratibu wa kutoa taarifa kwenye vyombo ya kisheria kuhusu vitendo vya utatili MBEYA Na Lennox Mwamakula Vijana nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika suala la kupinga vitendo vya ukatili kwani wao ndiyo nguvu kazi ya Taifa…

6 October 2025, 4:36 pm

Elimu juu ya madhara ya mila ya ukeketaji sehemu 3

Na Adelinus Banenwa Kipindi kinahusu kutoa elimu kwa jamii inayotekeleza mila ya ukeketaji kwa akinamama na mabinti juu ya madhara ya kiafya kijamii na kimaendeleo watakayoyapata pindi wanapofanyiwa mila hiyo. Lakini pia kinaonesha umuhimu wa dhamira ya mila hizo, hivyo…

3 October 2025, 12:25 pm

Elimu juu ya madhara ya mila ya ukeketaji sehemu 2

Na Adelinus Banenwa Kipindi kinahusu kutoa elimu kwa jamii inayotekeleza mila ya ukeketaji kwa akinamama na mabinti juu ya madhara ya kiafya kijamii na kimaendeleo watakayoyapata pindi wanapofanyiwa mila hiyo. Lakini pia kinaonesha umuhimu wa dhamira ya mila hizo, hivyo…

3 October 2025, 9:05 am

Wahudumu wa bucha watakiwa kupima afya

Na Zabron G Balimponya Wahudumu wa kutoa huduma ya nyama katika mabucha wameshauliwa kutouza kipande cha nyama chenye muhuri wa daktali hadi kiwe cha mwisho ili kipande hicho kitumike kumlidhisha mteja kwamba nyama hiyo imepimwa na ni salama kiafya Hayo…