Dodoma FM

Maji

June 21, 2025, 2:34 pm

Matukio 154 ya ukatili kwa watoto yaripotiwa Muleba

Viongozi mbalimbali wilayani Muleba mkoani Kagera wametakiwa kushirikiana ili kudhibti vitendo vya kikatili kwa watoto ambavyo vimekuwa vikipelekea baadhi yao kushindwa kufikia ndoto zao. Na. Anold Deogratias Mkuu wa Wilaya ya Muleba mkoani Kagera Dkt. Abel Nyamahanga amewataka wadau wa…

20 June 2025, 10:42 pm

Saashisha azindua shule mpya, atoa wito kwa wanafunzi

Pichani ni mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Elinikyo Mafuwe akizindua shule ya msingi Muungano(picha na Salma Sefu) Mbunge wa jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe, ameweka jiwe la msingi katika shule mbili mpya ,Shule ya Msingi Muungano na Shule ya…

11 June 2025, 10:37 am

NGO’s zatakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano

Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yamefanya mkutano wa pamoja katika kuweka mikakati yakufanya kazi kwa pamoja na kubainisha changamoto zao kwenye uongozi wa wilaya ya Hai Na Henry Keto. Hai-Kilimanjaro Mashirika yasiyo ya kiserikali yametakiwa kukaa pamoja kuweka mikakati yakufanya…

June 7, 2025, 7:00 pm

‘DC Monduli awatelekeza wananchi wake’

Wananchi wa kijiji cha Mti mmoja wamepoteza matumaini yao ya utatuzi wa mgogoro wa ardhi baina ya mtu binafsi na eneo la malisho maarufu Sepeko baada ya Mkuu wa Wilaya ya Monduli kutoonekana katika eneo la mgogoro kama alivyoahidi. Na…

June 2, 2025, 2:43 pm

Laigwanan kupasua chungu waliopora ardhi yao

Wananchi wa kijiji cha Engutukoit kata ya Oldonyowas wametoa siku 7 kupasua chungu kwa ajili ya watu wote wanaotaka kuwapora eneo la ardhi kwa ajili ya malisho ya mifugo yao. Na Juliana Laizer Wakizungumza katika mkutano ambao mgeni rasmi alikuwa…

2 June 2025, 14:30

Mitandao yaweka maadili ya watoto rehani

Wazazi na walezi watakiwa kuwa makini na watoto wao katika matumizi ya mitandao ya kijamii ili kulinda maadili na afya ya akili za watoto hao dhidi ya athari zinazoweza kutokana na matumizi mabaya ya teknolojia. Na Samwel Mpogole Katika kipindi…

2 June 2025, 1:42 pm

Hatimaye skuli ya ufundi kujengwa Pemba

Na Is-haka Mohammed Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema  ujenzi wa Skuli ya Ufundi itakayojengwa hivi karibuni  kambini kisiwani Pemba ni kuunga mkono serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika uimarishaji maendeleo ya elimu inayoendelea kuimarishwa  kwa…