Dodoma FM

Maji

16 September 2025, 2:27 pm

Ndogowe waiomba serikali kukamilisha uchimbaji wa kisima

Serikali iliweka ahadi ya kuchimba kisima sambamba na ujenzi wa bwawa ambalo litawanufaisha wakazi wa eneo hilo Kwa kilimo cha umwagiliaji lakini bado haijateleza ahadi hiyo hadi leo. Na Victor Chigwada.Wakazi wa Kijiji cha Ndogowe Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma…

24 August 2025, 12:21 am

Afisa elimu awataka wanafunzi kuwa makini vyuo vikuu

Na Mary Julius. Afisa Elimu Mkoa wa Mjini Magharibi, Mohamed Abdalla Mohamed, amewataka vijana waliohitimu kidato cha sita Skuli ya Kiponda kuendeleza juhudi zao za kujisomea ili kufanikisha ndoto zao na kuliletea taifa maendeleo. Akizungumza katika hafla ya kuwaaga wanafunzi…

August 20, 2025, 7:52 pm

Jamii Mara yaaswa kutunza na kuenzi tamaduni

Maringo Ndolela aliekaa kulia na Felix Lukonge Sola wawakilishi wa koo za kabila la wajita wakizungumza na Bunda FM kwenye kipindi cha Busati la Habari kinachoruka Jumatatu hadi Ijumaa. Picha na Amos Marwa ”Nawakaribisha Wajita wote na makabila mengine kutoka mkoa…

29 July 2025, 7:22 pm

CHAMATA vijana kufundwa kuhusu miradi ya maendeleo Kizimkazi

Tamasha la vijana Kizimkazi linatarajiwa kuwakutanisha vijana wasiopunguwa 450 pamoja na watalam wa masuala ya uchumi, biashara, fedha na nishati kupitia mabaraza ya vijana Zanzibar. Na Mary Julius. Chama cha Mama Tanzania (CHAMATA) kimesema utafiti waliofanya wamegundua kuna miradi mingi…

22 July 2025, 8:40 pm

HRT SACCOS yazidi kung’ara, yarudisha kwa jamii

 “Mhe mkuu wa wilaya kila mwaka chama kinatekeleza msingi wa saba wa ushirika kwa kuendelea kuijali jamii,na mwaka huu Mh mkuu wa wilaya tumetembelea shule hii ya  msingi Ngare Mji na tunatoa madawati ambayo thamani yake ni shilingi milioni 4…

21 July 2025, 6:54 pm

Shule za msingi Hai kung’ara na miradi ya BOOST

Kupitia mradi wa BOOST shule mbalimbali za msingi  katika wilaya ya Hai zinategemea kunufaika katika ujenzi. Na Elizabeth Noel Hai-Kilimanjaro Wananchi wa Kata za Masama Rundugai na Machame Mashariki wametakiwa kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa miradi ya BOOST iliyotambulishwa  na…

4 July 2025, 4:46 pm

Jamii yatahadharishwa meno ya watoto yako hatarini

Jamii imetakiwa kuona umuhimu wa kuwafanyia uchunguzi wa afya watoto ili kuweza kugundua tatizo na kupatiwa matibabu mapema. Na Mary Julius. Jamii nchini imeshauriwa kujiwekea utaratibu wa kuwapeleka watoto wao katika vituo vya afya ili kufanyiwa uchunguzi wa maradhi mbali…