Dodoma FM
Dodoma FM
2 December 2025, 7:16 pm
“Sisi wana Pangani tukiweka nguvu za pamoja tutaweza kutokemeza janga hili na wilaya yetu inaendelea kupambana na gonjwa hili katika jamii zetu”. Amesema Bi. Sophia Kabome Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani. Na Rajabu Mrope Maambukizi ya Virusi…
27 October 2025, 8:37 pm
Mwenye jukumu la kulinda raia na mali zake kwa mujibu wa ni jeshi la polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wananchi wilayani Butiama kujitokeza kwa wingi siku ya tarehe 29 oct 2025…
3 October 2025, 12:19 pm
Na Dorcas Charles-Kurunzi Maalum Idadi ndogo ya vijana wa kike kutoka jamii za kifugaji katika Wilaya ya Simanjiro wanaojitokeza kugombea nafasi za uongozi inazua maswali mengi juu ya ushiriki wa wanawake vijana katika siasa. Hali hii inajiri wakati nchi ikiendelea…
September 26, 2025, 9:07 am
Kupunguza utoro shuleni na kuongeza utulivu wa watoto shuleni Na Devi Mgale Shirika lisilokuwa la kiserikali la Elisha Youth Support Foundation (EFAD) lililopo wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe limetoa kilo 420 za Mahindi kwa watoto wanaoishi mazingira magumu katika…
18 July 2025, 11:50 am
Baadhi ya madereva na makondakta wa stendi ya zamani. Picha na Leah Kamala “Ni marufuku kufungua mlango gari likiwa linatembea” Na Leah Kamala Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametoa malalamiko yao kuhusiana na tabia ya makondakta…
13 June 2025, 5:12 pm
“Changamoto zilizopo ni kutokutekelezwa kwa sheria ya usalama mahala pa kazi” Na Anna Mhina Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph amewataka wachimbaji wa madini kuzingatia sheria na miongozo ya uchimbaji ili kutosababisha madhara yanayoweza kuepukika. Jamila ameyasema hayo kwenye…
8 May 2025, 13:56
Kwa mujibu wa Takwimu za Ofisi ya Ustawi wa Jamii, kati ya mwezi March hadi April mwaka 2025 pekee kuna zaidi ya watoto 150 walitelekezwa katika Wilaya ya Kigoma. Hii leo wengi wa watoto hawa wanaishi mtaani, hawawajui wazazi wao…
30 April 2025, 9:08 am
Niwaagize wakandarasi wanaotekeleza Miradi ya Maji katika Wilaya hii waongeze Kasi ili Wananchi wapate huduma ya Maji kama Serikali ilivyokusudia kusogeza huduma karibu na Wananchi Pia nitoe Onyo kwa Wananchi wanaoharibu Miundombinu ya Maji waache mara moja kwani tutawakamata na…
18 December 2024, 7:09 pm
Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Mara limewataka wananchi wote kuchukua tahadhari za usalama kuelekea sikukuu za kufunga mwaka 2024. Na Adelinus Banenwa Akizungumza kupitia kipindi cha Duru za habari ndani ya studio za radio Mazingira Fm Mrakibu wa…
10 October 2024, 5:11 pm
Mganga mfawidhi wa hospital ya halmashauri ya mji wa Babati(Mrara) Dr Gillian Francis Lupembe amesema Idadi ya wagonjwa waliokwenda kupata huduma ya matibabu ya macho imekuwa kubwa kutokana na watu wengi wanachangamoto ya uoni. Na Marino Kawishe Zaidi ya wananchi…