Dodoma FM
Dodoma FM
20 October 2025, 4:43 pm
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mpanda wa pili kutoka kulia akiwanadi wagombea wa jimbo hilo. Picha na Leah Kamala “Ndugu zangu wa Kasokola kwenye kilimo Rais Samia amefanya kazi kubwa” Na Leah Kamala Mgombea Ubunge wa jimbo la mpanda mjini…
18 October 2025, 11:51 am
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mpanda katikati akipokea jezi za CHAUMA zilizorudishwa. Picha na Anna Mhina “Wamerudisha kadi zao na jezi zao” Na Anna Mhina Wanachama 24 wa chama cha Ukomboza wa Umma ( CHAUMA) wa kata ya Kazima iliyopo…
16 October 2025, 4:07 pm
Viongozi wa CHAUMA wa pili kutoka kulia ni mgombea ubunge wa jimbo la Mpanda kati. Picha na Betord Chove. ” Naomba niwakikishie watu wa Dirifu ardhi hii ya uchimbaji ni mali yenu” Na Betord Chove Chama cha ukombozi wa umma…
16 October 2025, 3:50 pm
Mgombea ubunge jimbo la Mpanda kati akiwa kwenye kampeni zake. Picha na Anna Mhina “Nitaboresha miundombinu ya barabara na maji” Na Anna Mhina Mgombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi (CCM) jimbo la Mpanda kati Haidary Hemed Sumry amewaahidi wananchi wa…
15 October 2025, 14:36
Wakati zikiwa zimesalia siku chache kabla ya uchuguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kampeni zimeendelea katika maeneo mbalimbali nchini huku wanawake nao wakiwa hawajaachwa nyuma katika kushiriki uchaguzi.
October 14, 2025, 7:38 pm
Akizungumza katika Mafunzo hayo, Mkurugenzi wa Mwana wa Afrika, Bi. Rhoda Mwita Amesema kuwa Wakulima hawana budi kufanya kilimo Tija kwani hili ni hitaji kubwa hasa katika jamii nyingi nchini na ndiyo maana Wameamua kutoa mafunzo kwa Wakulima ili kuimarisha…
October 12, 2025, 9:26 am
picha ya jengo la Takukuru Nyasa Akizungumza katika tukio hilo, Bw. Chalamila amewapongeza viongozi wote sambamba na wananchi kwa kusimamia zoezi la ujenzi mpaka linakamilika huku akiwaasa kuwa viongozi wa dini, vyama, wananchi waendelee kupiga vita rushwa kwa kuripoti matukio…
10 October 2025, 2:37 pm
Kurunzi Maalum Utupaji hovyo wa taka ngumu kama plastiki, chupa, matairi na vifaa vya elekroniki unazidi kuwa tatizo kubwa kwa mazingira, taka hizo huchukua muda mrefu sana kuoza, mara nyingi taka hizi huzuia mifereji ya maji, kusababisha mafuriko na kutoa…
10 October 2025, 11:33 am
Aidha, amebainisha kuwa serikali inaendelea na mchakato wa kuhakikisha kuwa viwanda hivyo vinarejea katika hali ya uzalishaji ili kuimarisha uchumi wa wananchi wa Rungwe na kuongeza tija katika sekta ya kilimo cha chai nchini. Na Selemani Kodima. Katibu Mkuu wa…
9 October 2025, 3:19 pm
Mgombea urais Coaster Kibonde katikati akisalimiana na baadhi ya wanachama wa chama cha Makini. Picha na Samwel Mbugi “Vipaombele vyetu vipo vitatu elimu, kilimo na afya” Na Samwel Mbugi Mgombea urais kupitia Chama cha Makini Coaster Kibonde ameendelea na kampeni…