Dodoma FM

jamii

19 September 2025, 1:16 pm

BPRA yawaasa wafanyabiashara kusajili

Wakala wa Usajili wa Biashara na Mali Zanzibar (BPRA) umeeleza kuwa moja ya malengo yake makubwa ni kujitambulisha kwa wananchi na kutoa elimu kuhusu umuhimu wa kusajili biashara na mali rasmi visiwani. Na Miraji Manzi Kae Akizungumza na Kituo cha…

September 17, 2025, 11:05 am

DC Nyasa: Mgombea urais CCM apokelewe kwa ‘vibe’

kwenye picha ni mkuu wa wilaya ya Nyasa Mh perres Magili Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mh. Perresi  Magiri amewaasa wananchi kujitokeza kwa wingi katika mapokezi ya mgombea nafasi ya Urais Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na mgombea mwenza…

11 September 2025, 2:00 pm

Zanzibar Yatarajia kutumia treni kuboresha usafiri wa mijini

Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza kuwa Serikali inajiandaa kuanzisha huduma ya treni za kisasa zinazotumia njia za magari, hatua itakayokuwa ya kihistoria katika kuboresha mfumo wa usafiri wa ndani…

30 August 2025, 2:58 pm

Dkt. Nchimbi aelezea yaliyotekelezwa Bunda chini ya Rais Samia

Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaeleza wanabunda kuwa sera za mgombea urais Dkt.Samia zinalenga kuwaletea maendeleo wananchi na kuboresha kwa kiwango kikubwa. Na Catherine Msafiri. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM na mgombea mwenza wa urais kupitia chama hicho Dkt.Emmanuel Mchimbi…

August 23, 2025, 3:17 pm

DC Biharamulo afunga mafunzo ya jeshi la akiba

DC Bulimba amewapongeza kwa kuhitimu kwa nidhamu, umakini na utayari, akiwataka wakawe mfano bora kwa jamii na kutumia mafunzo waliyopata kwa kuhudumia wananchi na kulinda usalama wa jamii. Na William Mpanju- Biharamulo, Kagera Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo, SACP Advera…

August 19, 2025, 12:26 pm

Sheria na kanuni za matumizi ya barabara yazingatiwe

”watembea kwa miguu zingatieni upande wao sahihi wa kupita, kwa mjibu wa sheria za usalama barabarani ni mkono wa kulia wa mtumiaji ili kutoa nafasi ya kuona chombo cha moto kilichombele yake” Na John Juma Watumiaji wa barabara katika Halmashauri…