Dodoma FM
Dodoma FM
16 December 2025, 8:15 pm
Wafanyabiashara mkoani Manyara wametakiwa kuzingatia vigezo, sheria na matakwa yote ya kibiashara ili kuepuka kupata adhabu mbalimbali ambazo wanawaweza kuzipata na kupelekea kushuka kibiashara. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa leo na Meneja wa Chemba ya Taifa ya biashara (TNCC)…
26 November 2025, 10:51 am
“Mvua zinazoendelea kunyesha zinaleta madhara makububwa “ Na Samwel Mbugi Wafanyabiashara wa soko la Mpanda hotel wameiomba serikali kushughulikia changamoto ya mifereji ya kupitishia maji hususani kipindi hiki cha mvua zilizoanza kunyesha ili isije kuleta madhara ya magojwa ya mlipuko.…
30 September 2025, 1:01 pm
Ligi ya mpira wa miguu wilaya ya Ngorongoro imetatamatika licha ya kukumbwa na changamoto kadha wa kadha ikiwepo kukosekana kwa bajeti ya kutosha kuendesha ligi hiyo. Na mwandishi wetu. Walimu FC wametawazwa mabingwa wa Ligi ya Wilaya ya Ngorongoro baada…
September 3, 2025, 2:47 pm
Kampuni ya Mati Super Brands Ltd kupitia kampuni tanzu Mati Technologies imekuja na teknolojia ya kisasa ya Ndege nyuki (drone) kwa ajili ya sekta ya kilimo na huduma nyingine za kijamii ili kuongeza ufanisi. Na Mussa Kinkaya Mkurugenzi Mtendaji wa…
August 28, 2025, 11:42 pm
Askari wa jeshi la akiba (mgambo) mkoani Kagera wametakiwa kuwa malinzi wa raia na mali zao na kuwa wazalendo katika kulilinda taifa lao dhidi ya vitendo vya uhalifu. Na Anold Deogratias Mkuu wa wilaya ya Bukoba mkoani Kagera Erasto Yohana…
August 23, 2025, 1:39 pm
Matendo hayo ni pamoja na kuchangia damu, kufanya usafi wa mazingira na kutoa misaada kwa wagonjwa katika hospitali ya Nyamiaga. Na David Mwaluseke- Ngara, Kagera Katika kuadhimisha miaka 64 ya Jeshi la Magereza Tanzania Bara baada ya Uhuru, jeshi hilo…
22 August 2025, 5:45 pm
Na Berema Suleiman. Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Zanzibar imesema jumla ya matukio 107 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa kwa mwezi wa Julai 2025 ambapo waathirika walikuwa 107 huku waathirika wengi wakiwa watoto sawa na asilimia…
August 22, 2025, 12:42 pm
Baadhi ya wakazi wa Songwe wameeleza uelewa wao kuhusu ilani za vyama vya siasa kuelekea uchaguzi mkuu, huku wanasiasa waandamizi wakifafanua maana halisi ya ilani. Na Mkaisa Mrisho Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Songwe wamezungumzia uelewa wao kuhusu kitu…
August 9, 2025, 9:12 pm
viongozi wa vyama vya siasa, viongozi wa dini na wadau wengine wa uchaguzi wamekutana Mbozi kuweka mikakati ya kuhakikisha uchaguzi mkuu unafanyika kwa amani na haki, huku DC Hamad Mbega akitoa onyo kali kwa wavunjifu wa amani Na Stephano Simbeye…
23 July 2025, 6:38 pm
Taasisi ya Ubalozi wa Amani Mkoa wa Kagera ni moja kati ya taasisi makini zinazoamini katika huduma bora baada ya kupata mafunzo maalum kuhusu mbinu za ulinzi wa amani nchini Theophilida Felician Wanachama wa taasisi ya ubalozi wa amani PPA…