Dodoma FM

afya

17 October 2025, 9:04 am

Taasisi zinavyohamasisha wanawake kujihusisha na Siasa

Makala hii inaelezea Jinsi Taasisi Binafsi na za Kiserikali zinavyoshiriki kuhamasisha wanawake kujihusisha na masuala ya Uchaguzi na siasa. Na Hafidh Ally na Dorice Olambo Nuru FM imekuandalia makala hii maalum kujua ni kwa kiwango gani Taasisi Binafsi, za Kidini…

10 October 2025, 10:15 pm

Manyara yatajwa kuwa na wagonjwa wa afya ya akili

Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amesema Manyara ni sehemu moja wapo ambayo inakabiliwa kwa kiasi kikubwa na ugonjwa wa afya ya akili kwani matukio ya kikatili, kujidhuru na kudhuru wengine yamekithiri . Na Mzidalfa Zaid Sendiga amesema hayo…

2 October 2025, 7:11 pm

Wazee ni tunu tuwajali na kuwatunza

Wananchi wametakiwa kushilikiana na serikali katika kuibua changamoto ya unyanyasaji wa kijinsia unaofanyika kwa wazee. Na Dunia Stephano Kaimu mtendaji ambaye pia ni Afisa maendeleo wa kata ya nguruka wilaya ya Uvinza Sarafina jonijo mapasi amewataka wananchi kushilikiana na serikali…

1 October 2025, 1:03 pm

Njia salama za uzazi wa mpango zinavyowasadia wanawake

Karibu msikiliza usikilize makala inayozungumzia matumizi sahihi ya uzazi wa mpango, Makala yetu imezungumza na mwanamke anaetumia uzazi wa mpango, mwanamke asietumia uzazi wa mpango, mwanamume anaempa ushirikiano mke wake kutumia uzazi wa mpango na wataalam wa afya . Na…

30 September 2025, 5:10 pm

Serikali yaendelea kudumisha huduma bora kwa wazee

Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani hufanyika Oktoba 1 kila mwaka, yakilenga kutambua mchango wa kundi hilo na kuhamasisha jamii kuendelea kuliheshimu, kulilinda na kulipatia huduma bora. Na Mariam Matundu.Katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani, Serikali…

28 September 2025, 2:40 pm

Siku ya kichaa cha mbwa yaadhimishwa kitaifa Kiteto

Siku ya Kichaa cha Mbwa Duniani imeadhimishwa leo kitaifa wilayani Kiteto mkoani Manyara ambapo jamii imetakiwa kuwatunza mbwa na kuwapatia chakula cha kutosha ili kudhibiti tatizo la mbwa kuzurura. Na Mzidalfa Zaid Akizungumza na FM Manyara Daktari wa mifugo halmashauri…

24 September 2025, 10:27 am

Changamoto wanazopitia wanawake wanapojihusisha na siasa

Makala hii inaelezea Changamoto ambazo wanawake wanazipitia pindi wanapoonesha nia ya kutaka kujihusisha na masuala ya kisiasa kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Octoba 2025. Na Hafidh Ally na Dorice Olambo Wakati Tanzania ikitarajiwa kuingia katika kinyang’anyanyiro cha kupata viongozi wapya…

September 23, 2025, 7:03 pm

Zoezi maalum la kuvalisha tembo mikanda ya GPS laanza Mkomazi

Taasisi ya utafiti wa wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori Tanzania (TAWA) na Mamlaka ya hifadhi za Taifa (TANAPA), imeanza zoezi maalum la kuvalisha tembo mikanda ya mawasiliano katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi, mkoani…