Dodoma FM

afya

15 April 2021, 1:34 pm

Wazee kuendelea kunufaika na sera ya matibabu bila malipo

Na; Selemani Kodima. Serikali imesema itaendelea kuwatambua wazee wenye umri wa miaka 60 na kuendelea  wasio na uwezo ili kunufaika na sera ya matibabu bila malipo. Hayo yamesemwa leo bungeni na Naibu Waziri TAMISEMI Dkt Festo Dugange wakati akijibu swali…

29 March 2021, 11:19 am

Idilo , Mpwapwa walia na ukosefu wa huduma ya Afya

Na,Mindi Joseph Wakazi wa kijiji cha Kisokwe wilayani Mpwapwa wapo mbioni kuepukana na adha ya kukosa huduma ya Afya kijijini hapo kutokana na ujenzi wa kituo cha Afya kukaribia kukamilika. Akizungumza na Dodoma Fm Diwani wa kata ya Mazae Mwl.…

9 March 2021, 12:56 pm

Idadi ya wanaume wanaopima VVU yaongezeka

Na, Yussuph Hans, – Dodoma. Imeelezwa kuwa kupitia mkakati wa Serikali wa kumtaka mama mjamzito kuambatana na mwenzi wake kliniki umesaidia kwa kiasi kikubwa kuwapima virusi vya ukimwi wanaume ambao awali,walikuwa wagumu kupima. Hayo yamebainishwa na mratibu wa Ukimwi kwenye…

2 February 2021, 1:58 pm

Dkt.Gwajima:Wanaume vunjeni ukimya

Na,Seleman Kodima, Dodoma. Wahanga wa vitendo vya ukatili wa kijinsia wametakiwa kuacha kujificha bali kujitokeza na kutoa taarifa ili Vitendo hivyo viweze kudhibitiwa kwa haraka na kusaidia kukabiliana navyo. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee…

19 January 2021, 2:29 pm

Kampeni ya uchunguzi wa macho CVT yaendelea

Na,Alfred Bulahya Dodoma. Kampeni ya kupima na kufanya uchunguzi wa macho katika hospitali ya macho ya CVT iliyopo Uzunguni Jijini Dodoma, imeendelea leo kwa kufanya upasuaji kwa wagonjwa 3 waliobainika kukutwa na tatizo la mtoto wa jicho.Hayo yanajiri ikiwa ni…

18 January 2021, 1:28 pm

CVT yatoa huduma ya uchunguzi wa macho bure

Na,Alfred Bulahya, Dodoma. Hospitali ya macho ya CVT iliyopo Uzunguni jijini Dodoma imeanza kampeni ya uchunguzi na kupima macho bure kuanzia leo Januari 28 mwaka huu, kwa lengo la kuwawezesha watu wenye vipato vya chini kupata huduma hiyo.Akizungumza na taswira…

16 December 2020, 3:06 pm

PROF.Nchembe:Idadi ya vyoo bora nchini yaongezeka 2020

Na,Mindi Joseph, Dodoma. Idadi ya vyoo bora nchini imeongezeka kutoka asilimia 62.4 kwa mwaka 2019 hadi asilimia 64 kwa mwaka 2020. Hali hii imechangiwa na usimamizi bora uliofanyika kupitia kampeni ya nyumba ni Choo ambayo inafanyika nchi Nzima kwa lengo…