afya
26 March 2024, 6:42 pm
Waandishi wa habari watakiwa kutoa taarifa sahihi
Mlipuko wa magonjwa unapotokea waandishi wa habari ni nyenzo muhimu ya kutoa taarifa sahihi. Na Mariam Matundu.Waandishi wa habari wametakiwa kuhakikisha usahihi wa Taarifa ili kuepusha taharuki kwa jamii wakati wa magonjwa ya Mlipuko. Hayo yamebainisha Richard Msittu Mkuu wa…
15 March 2024, 7:03 pm
Mgogoro wa vitongoji viwili wakwamisha ujenzi wa Zahanati Songolo
Vitongoji hivi vilipinga ujenzi wa zahanati hiyo na kususa kushiriki hali iliyochangia Wananchi wa kijiji cha Madaha kutembea zaidi ya kilomita 20 kufuata huduma za afya katika Kituo cha afya Hamai. Na Mindi Joseph.Uwepo wa Mgogoro baina ya vitogoji vya…
29 February 2024, 3:48 pm
Chipogolo walazimika kufuata baadhi ya huduma za Afya Mtera
Mh. Senyamule ametembelea kituo cha afya cha Rudi ambacho kinahudumia wananchi takribani 15,440 kutoka vijiji vitano, kituo kilipokea kiasi cha shilingi Milioni 701 kwa ajili ya ujenzi wa Maabara ambayo ipo katika hatua ya umaliziaji na Shilingi Milioni 300 kwa…
26 February 2024, 5:55 pm
Waganga wafawidhi watakiwa kusimamia marufuku ya simu kwa wauguzi
Katika mahafali hayo jumla ya watahiniwa 2099 wameweza kutunukiwa vyeti ,kufanyiwa uorodheshwaji pamoja na pamoja na kupewa Leseni na baraza hilo la uuguzi na ukunga tayari kuanza kutumikia katika utoaji wa huduma za afya. Na Mariam Matundu. Waganga wafawidhi nchini…
15 February 2024, 5:34 pm
BMH yafanya matibabu ya moyo kwa kutumia mishipa ya mkono kwa mara ya kwanza
Njia ya mshipa wa mguuni ilihitaji mgonjwa kukaa si chini ya saa sita baada ya huduma pasipo kuinuka kitandani au kukunja mguu tofauti na hii ambapo anainuka kutembea mwenyewe na baada ya saa chache anaweza kuruhusiwa kwenda nyumbani siku hiyo…
15 February 2024, 5:01 pm
Tabia bwete yatajwa chanzo cha ugonjwa wa kisukari
Ili kuepuka magonjwa yanayosababishwa na mtindo mbovu wa maisha ni muhimu kufanya mazoezi ya wastani ya dakika 35 hadi 45 mara kwa mara. Na Mindi Joseph. Imeelezwa kuwa tabia Bwete ikiwemo kutofanya mazoezi unene uliopitiliza,kula vyakula vya wanga na mafuta…
7 February 2024, 5:54 pm
Yafahamu madhara yatokanayo na saratani ya mlango wa kizazi
Na Yussuph Hassan. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, saratani inayoongoza nchini ni ya mlango wa kizazi kwa asilimia 25, matiti asilimia 10, tezi dume asilimia 9, mfumo wa chakula asilimia 6.5 na saratani nyinginezo. Wanawake wenye umri kuanzia miaka…
5 February 2024, 6:27 pm
Saratani ya mlango wa kizazi tishio kwa wanawake
Kila Februari 4 huwa ni maadhimisho ya Siku ya Saratani Duniani ambapo serikali imetoa rai kwa jamii kuchukua hatua za mapema kupima ugonjwa wa saratani, ambapo saratani ya mlango wa kizazi ni moja kati saratani zinazowapata akina mama. Na Yussuph…
12 April 2022, 3:27 pm
Zahanati ya Kisokwe kukamilika punde
Na;Mindi Joseph. Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa imefanikiwa kupeleka Million 50 za kukamilisha ujenzi wa zahanati ya kisokwe wilayani humo. Taswira ya habari imezungumza na Diwani wa kata ya mazae Mwl Willium Madae amesema pesa hizo zitachangia Ujenzi wa zahanati…
11 April 2022, 2:44 pm
Wajawazito watakiwa kuzingatia lishe
Lishe Hafifu kwa Mama wajawazito imetajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa Watoto kuzaliwa wakiwa na upofu wengine uoni Hafifu. Taswira ya habari imezungumza na Daktari wa macho Wilaya Bahi Dk Fortunatus Nkane ambaye pia ni Mratibu wa huduma za Macho Wilayani…