Dodoma FM

afya

30 April 2021, 12:01 pm

TACAIDS yawajengea uwezo wasichana kutambua haki zao

Na; Mariam Matundu. Tume ya kudhibiti  Ukimwi nchini TACAIDS  chini ya  uratibu wa masuala ya ukimwi kwa mtazamo wa kijinsia imetoa mafunzo kwa wasichana na wanawake wanaoishi na virusi vya ukimwi ili kuwapatia utambuzi wa haki zao za msingi katika maeneo yao. Akizungumza…

27 April 2021, 11:39 am

Mpalanga wakabiliwa na changamoto ya wahudumu wa Afya

Na; Victor Chigwada Kituo cha afya kilichopo katika Kijiji cha Mpalanga Wilayani Bahi kinakabiliwa na upungufu wa wahudumu wa afya pamoja na mganga mkuu hali inayodhohofisha utoaji huduma. Hayo yamebainishwa na baadhi ya wananchi wa Kata hiyo wakati wakizungumza na…