Dodoma FM

afya

6 April 2022, 3:22 pm

Wazazi watakiwa kuwapeleka watoto katika vituo vya Afya

Na;Yussuph Hassan. Wazazi na walezi Mkoani Dodoma wameshauriwa kuhakikisha wanawapeleka Watoto wao katika vituo vya afya kufanya uchunguzi wa Magonjwa mbalimbali ambayo mara nyingi huwa kama yamesahauliwa katika jamii. Akizungumza na kituo hiki Dkt Matthew Gaudance kutoka kituo cha Afya…

6 April 2022, 3:12 pm

Rais Samia Azindua mfumo wa M-mama

Na; Mariam Kasawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh samia Suluhu Hassani amezindua mpando wa M-mama utao wezesha usafirishaji wa dharura kwa wajawazito na watoto wachanga. Uzinduzi huo umefanyika leo katika viwanja vya Chinangali Park vilivyopo jiji Dodoma…

5 April 2022, 1:37 pm

Uvutaji wa sigara hadharani upigwe marufuku

Na;Yussuph Hassan. Wananchi Jijini Dodoma wameiomba Serikali kutilia mkazo suala la baadhi ya watu kuvuta sigara hadharani kwani suala hilo limekuwa na madhara makubwa kiafya. Wakizungumza na kituo hiki baadhi ya wakazi hao wamesema kuwa kutokana na baadhi ya watumiaji…

15 March 2022, 2:07 pm

Wazazi watakiwa kusimamia Afya ya kinywa ya watoto wao

Na;Yussuph Hassan. Katika kuhakikisha Mtoto anapata makuzi bora ya afya ya kinywa, imeelezwa kuwa Mzazi ana wajibu wa kumsimamia Mtoto wake kuanzia umri wa Mwaka mmoja hadi kufikia umri wa miaka Tisa. Usafi wa kinywa hujumuisha usafi wa meno, fizi,…

15 February 2022, 4:42 pm

Wananchi waomba kupatiwa elimu juu ya mazoezi ya viungo

Na ;Thadei Tesha. Mwitikio wa watu kufanya mazoezi bado umeendelea kuwa wa wastani kutokana na watu kutopata elimu ya kutosha juu ya umuhimu wa kufanya mazoezi. Taswira ya habari imefanya mahojiano na wananchi jijini hapa kufahamu ni kwa kiasi gani …

14 February 2022, 5:44 pm

Wakazi wa Chitabuli waomba kujengewa Zahanati

Na; Neema Shirima. Wananchi wa kijiji cha Chitabuli katika kata ya Membe jijini Dodoma wameiomba serikali iwajengee zahanati ili waweze kuondokana na changamoto ya ukosefu wa huduma hiyo katika kijiji hicho Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema changamoto…