Utamaduni
03/12/2024, 11:56
Wakazi wa Bahi road walalamika kero ya maji taka
Hali hiyo inahatarisha usalama wa afya za wananchi katika eneo hilo. Na Waandishi wetu. Wananchi wa Mtaa wa Bahi Road Jijini Dodoma wamepaza sauti zao juu mitaro inayotiririsha majitaka na chemba katika maeneo yao. Wakizungumza na taswira ya habari wamesema…
02/12/2024, 09:43
Shule zatakiwa kuajiri mtaalam wa mazingira
Hayo yamejiri wakati wa mahafali ya 2 ya shule ya msingi na Awali ya English medium Bahi ambapo Wanafunzi 37 wamehitimu darasa la Awali na kutunukiwa vyeti Wavulana 16 na wasichana 21. Na Anselima KombaMkurugenzi Mtendaji Halimashauri ya Bahi Zaina…
28/11/2024, 10:30
Shule ya sekondari Bugalama wapanda miti 500 kutunza mazingira
Serikali na wadau mbalimbali wa mazingira wameendelea kuhamasisha jamii juu ya upandaji miti ambapo kwa mujibu wa wataalam wanaeleza kuwa miti imekuwa na faida nyingi katika kutunza mazingira. Na: Kale Chongela – Geita Uongozi wa shule ya sekondari Bugalama iliyopo kata ya…
26 Novemba 2024, 2:59 um
Mamlaka ya mji mdogo Sengerema kurejea Chadema wakishinda uenyeviti
Kampeni za uchaguzi Serikali za mitaa Mwaka huu 2024 zimeshuhudiwa kuwa na amani bila vurugu yoyote katika halmashauri ya Sengerema huku vyama vyote vikitangaza neema kwa wananchi endapo vitachaguliwa. Na;Elisha Magege Mgombea uenyekiti kitongoji mjini kati kupitia Chadema Nuru Lutembeja…
22/11/2024, 12:33
Mradi wa taka rejeshi kuwanufaisha wakazi kata ya Chamwino
Wananchi wamepaswa kutambua kuwa chupa za plastiki ni mali hivyo si vema kuzitupa ovyo na kuharibu mazingira. Na Fred Cheti. Majaribio ya Mradi wa uchakataji chupa za plastiki umetajwa kuwanufaisha wananchi wa kata ya Chamwino amabao wengi wamepata ajira kupitia…
07/11/2024, 17:55
Jitihada zaidi zahitajika kuteketeza taka za kieletroniki
Na Mariam Kasawa. Takribani tani 33, 000 za taka za kieletroniki huzalishwa nchini kwa mwaka na asilimia 3% tu ya taka hizo hukusanywa na kurejereshwa na kiwango kikubwa cha taka hubaki na kuzagaa katika mazingira. Bi Lilian Lukambuzi Mkurugenzi wa…
04/11/2024, 16:59
Sendiga aikabidhi hekari 8 taasisi ya Mwinyi Baraka Islamic Foundation
Baada ya mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga kuikabidhi hekari 8 Taasisi ya Mwinyi Baraka Foundatin amesema uwekezaji huo utaisaidia kuwainua vijana kwa kujifunza shughuli mbalimbali pamoja na kujiajiri kufuatia kuwepo kwa changamoto ya ajira kwa vijana wengi Na…
23/10/2024, 18:58
Zifahamu athari za betri chakavu za magari
Na Mariam Kasawa. Betri chakavu za magari zimetajwa kuwa na athari kubwa kwa viumbe na mazingira endapo hazitateketezwa katika utaratibu mzuri. Akizingumza katika wiki ya kujiondosha na kuepukana na kemikali zinazotokana na betri chakavu Bi. Dora Swai katibu mtendaji kutoka…
12 Oktoba 2024, 4:23 um
DC Sengerema aongoza wananchi kujiandikisha kushiriki uchaguzi
Serkali kupitia TAMISEMI imetangaza siku kumi za wananchi kujiandikisha kwenye daftari la makazi kwa ajili ya kushiriki uchaguzi serkali za mitaa mwezi november mwaka huu. Na.Emmanuel Twimanye Wananachi Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza wametakiwa kuendelea kujitokeza kujiandikisha katika Daftari la makazi…
10/10/2024, 19:00
EFL Dodoma yachagiza kaulimbiu Dodoma ya kijani kwa kupanda miti
Na Mariam Kasawa. Kampuni ya mikopo ya Enterprice Financial Limited EFL imechagiza kauli mbiu ya Dodoma ya Kijani kwa kupanda miti katika maeneo ya Kndege Shule ya Msingi iliyopo jijini Dodoma. Meneja wa ampuni hiyo ya EFL tawi la Dodoma…