Ujenzi
28 September 2023, 09:32
Mkandarasi aagizwa kuongeza kasi ujenzi barabara ya Uvinza
Serikali imesema mkandarasi anayejenga barabara ya Ilunde – Malagarasi Uvinza kuwa amekiuka makubaliano ya mkataba wa kukamilisha na kukabidhi barabara ya ya Ilunde Uvinza Mwezi oktoba mwaka huu wa 2023. Na, Kadislaus Ezekiel. Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya…
24 September 2023, 3:08 pm
Vijana Pemba waomba ajira ujenzi uwanja wa ndege
Wananchi waliopisha ujenzi wa uwanja wa ndege Pemba kuanza kulipwa fidia mara baada ya kukamilika kwa tathmini. Na Is-haka Mohammed Kamati ya muda ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inayoratibu masuala ya ujenzi wa uwanja wa ndege Pemba imekutana…
14 September 2023, 19:21
Kinanasi: Yajayo Kyela yanafurahisha
Mbunge wa Jimbo la Kyela Ally Mlagila Jumbe Kinanasi ameahidi kutekeleza mambo yote yaliyoombwa na wananchi wa kata ya Bujonde ikiwemo barabara ya kutoka Bujonde kwenda Nyerere ndani ya kata hiyo. Ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kikazi katika…
18 July 2023, 12:07 pm
CCM yaridhishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uzio shule ya msingi Mazinyun…
Kupatiwa fedha na serikali katika mradi wa shule ya ujenzi wa uzio katika ya shule ya Mazinyungu unakwenda kuwanufaisha wanafunzi shuleni hapo ambao walikua wanakumbana na adha mbalimbali hususan ya usalama wao wawapo shule kwa kuwa shule hiyo ipo karibu…
30 May 2023, 2:57 pm
Nguvu kazi za wananchi kuchochea miradi ya maendeleo kukamilika kwa wakati
Miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya sita inadhamiria kuondoa adha za wananchi wanazokabiliana nazo ikiwemo katika sekta ya elimu, afya na masuala ya kijamii ambayo ili kukamilika inahitaji jitihada za wananchi kuunga mkono jitihada hizo hususan kujitolea nguvu…
7 April 2023, 1:07 pm
Serikali yasikia kilio cha shule ya mbao yatoa zaidi ya shilingi 400 kujenga shu…
Adha wanayoipata kwa sasa wanafunzi wa shule ya msingi Mambegwa ni kukaa chini pamoja na kusomea kwenye majengo ya muda yaliyojengwa na wananchi baada ya majengo ya kudumu ya shule hiyo kusombwa na maji. Na Asha Madohola Hatimaye kijiji cha…
9 March 2023, 4:35 pm
Uongozi wa kata ya Itiso yatoa pongezi kwa jitihada za ujenzi wa madarasa
Uongozi umetoa pongezi kwa wananchi wa kata ya Itiso wilayani Chamwino kwa juhudi kubwa wanayoifanya ya ujenzi wa Vyumba vya madarasa . Na Victor Chigwada. Uongozi wa Kata ya Itiso wilayani Chamwino umetoa pongezi kwa wananchi wa kata hiyo kwa…
6 March 2023, 11:40 am
Mpwapwa yatarajia kuanza kilimo cha umwagiliaji
Bwawa hilo ambalo linajengwa kati ya kijiji cha Chunyu na Ng’ambi wilayani Mpwapwa hadi sasa umefikia asilimia 30 huku ukitarajiwa kukamilika ifikapo Novemba mwaka huu. Na Mariam Kasawa Jumla ya shilingi bilioni 27 zimetolewa ili kukamilisha uchimbaji wa bwawa litakalo…
16 February 2023, 3:46 pm
Bilioni 1.172 kujenga barabara kongwa
Wakala wa barabara za mijini na vijijini Tanzania (TARURA) wilayani kongwa wanatarajia kutumia shilingi Bilioni 1.172 kwaajili ya kujenga na kukarabati miundombinu ya barabara katika bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024. Na Bernadetha Mwakilabi. Meneja wa TARURA Kongwa injinia Peter…
15 February 2023, 11:14 am
Baraza La Taifa la Ujenzi lajipanga kutekeleza Majukumu Tisa
Na Fred Cheti. Baraza La Taifa la Ujenzi limesema kwa Mwaka 2023 limejipanga kutekeleza Majukumu Tisa ambapo ni pamoja na kukamilisha muongozo wa gharama za ujenzi wa barabara Nchini kwa kuandaa gharama za msingi za Mkandarasi katika kutekeleza kazi mbalimbali…