Uhuru
2 Agosti 2023, 11:52 um
Miradi 59 ya bilioni 29 kuzinduliwa na mwenge wa uhuru mkoani Geita
Mwenge wa Uhuru umeanza kukimbizwa mkoani Geita Agosti 02,2023 na utakimbizwa kwa siku sita katika halmashauri sita za mkoa huo kisha kukabidhiwa Agosti 08 mwaka huu mkoani Kagera. Na Mrisho Sadick: Wakazi zaidi ya Eefu nane (8,000) wa kijiji cha…
12 Mei 2023, 10:45 um
Mwenge wa Uhuru wang’arisha miradi saba ya maendeleo wilayani Kilosa
Makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru kutoka wilayani Kilosa yamefanyika wilaya ya Gairo ili kuendeleza falsafa ya Mwenge wa Uhuru kama ilivyoasisiwa na Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere ikiwa ni tunu ya kuleta amani katika Taifa na tumaini kulipokua…
10 Disemba 2022, 4:36 mu
Miaka 61 ya Uhuru wananchi wametakiwa kuunga mkono jitihada za vingozi
TANGANYIKA. Katika kuazimisha miaka 61 ya uhuru wa Tanzania bara wananchi wametakiwa kuziunga mkono jitihada mbalimbali zinazofanywa na viongozi ikiwa ni sehemu ya kumuenzi mwasisi baba wa taifa mwalimu Julius kambarage nyerere. Kauli hiyo imetolewa na mgeni rasmi ambae ni…
15 Aprili 2021, 11:42 mu
Tope lakwamisha shughuli za uvuvi Hombolo
Na; Victor chigwada Wakazi wa Hombolo wanao jihusisha na shughuli ya uvuvi wamelalamikia bwawa hilo kujaa tope na kupungua kina hali inayo sababisha vifo kwa wavuvi wanao kwama kwenye tope hilo. Wakizungumza na taswira ya habari wavuvi hao kutoka…