Radio Tadio

Uhuru

2 January 2025, 9:08 pm

Nyumba yateketea kwa moto 20 wanusurika kifo Bunda

Zaidi ya watu 20 katika mtaa wa miembeni kata ya Bunda stoo halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara wamenusurika kifo baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kuteketea kwa moto. Na Adelinus Banenwa Zaidi ya watu 20 katika mtaa wa miembeni kata…

28 December 2024, 20:13 pm

Mtenga akabidhi bati, TV kwa vijiwe vya bodaboda Mtwara

Hii ni katika kuona anawafikia vijana kwenye maeneo yao ya kazi na kutatua baadhi ya changamoto zinazowakabili katika maeneo yao Na Musa Mtepa Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini, Mh. Hassani Mtenga, amekabidhi bati na televisheni zenye thamani ya zaidi…

23 December 2024, 18:09

TAKUKURU Mbeya yafanya tathmini, mikakati ya chaguzi

Katika kupambana na vitendo vya Rushwa jamii imepaswa kuwa mstari wa mbele kutoa taarifa pindi wanapoona vitendo hivyo. Na Hobokela Lwinga Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Mbeya imefanya kongamano na wadau la thathimini ya uchaguzi…

15 December 2024, 11:24 am

Namtumbuka atahadharisha matumizi mihuri kinyume na utaratibu

Ni kikao kazi kilichoitishwa na Diwani wa kata ya Namtumbuka Al-haji Salumu Lipwelele kwa viongozi wa vijiji waliochaguliwa hivi karibuni chenye lengo la kufahamiana na wakuu wa idara waliopo katika kata ya Namtumbuka ili kurahisisha katika utekelezaji wa majuku yao.…

12 December 2024, 10:27 am

Mnyachi mguu sawa kuwatumikia wananchi

Wanawake wapatao 78 katika kata ya Mkunwa wamefanikiwa kupata nafasi mbalimbali za uongozi huku Lukia Mnyachi akiwa Mwenyekiti wa Kijiji wa Kwanza na wa pekee katika historia ya kata ya Mkunwa. Na Musa Mtepa Mwenyekiti pekee wa Kijiji wa kike…