Uhuru
26 August 2024, 15:03
Wananchi 42,000 kunufaika na mradi wa maji Itagano Mwansekwa
Kiongozi wa Mwenge amempongeza Ubora wa Mradi huo na kuwaomba Wananchi kutunza vyanzo vya Maji. Na Hobokela Lwinga Mwenge wa Uhuru 2024 kupitia kwa Kiongozi wake Ndg: Godfrey Mnzava na timu yake umeweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Itagano-Mwansekwa…
26 August 2024, 07:39
Kurasa za magazeti Agosti 26, 2024
22 August 2024, 08:53
Kurasa za magazeti Agosti 22, 2024
21 August 2024, 09:45
Kurasa za magazeti ya Tanzania leo Jumatano 21 Agosti 2024
20 August 2024, 08:21
Kurasa za magazeti Jumanne Agosti 20, 2024
7 August 2024, 19:10
Vijana na wanawake watakiwa kuigeukia fursa ya ufugaji na uvuvi
Nini kinachowakwamisha vijana kujikita katika Sekta ya Ufugaji? Na Fred Cheti.Vijana na Wanawake wametakiwa kuzigeukia fursa za Ufugaji na Uvuvi kupitia mitaji wanayopata badala ya Biashara pekee ili waweze kujikwamua kiuchumi wao na Taifa kwa ujumla. Hayo yameelezwa na Mkuu…
3 August 2024, 06:24
Kurasa za magazeti Agosti 03, 2024
12 June 2024, 5:12 pm
Walimu shule za msingi na Sekondari jiandaeni kustaafu
Watumishi wengi wamesahau kujiajiri kipindi wapo kazini hali inayosababisha wakati wanastaafu kupata changamoto katika eneo la kipato Na Sebastian Mnakaya Walimu wa shule za msingi na Sekondari katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kujiandaa kustaafu kwa kujishughulisha…
5 June 2024, 5:07 pm
Wawekezaji toeni fursa za ajira kwa vijana wazawa
wawekezaji endeleeni kuwapa kipaumbele wazawa wa maeneo husika kwa kuwapatia kazi ambazo wanaziweza kuzifanya ili nao wapate kipato kupitia uwekaziji huo. Na sebastian Mnakaya Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga Mboni Mhita amewataka wawekezaji katika sekta ya madini kutoa…
9 December 2023, 7:36 pm
Sengerema waadhimisha miaka 62 ya uhuru kwa kufanya usafi wa mazingira
Maadhimisho ya kumbukizi ya kutimiza miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania bara wilayani Sengerema yamefanyika kwa kupanda miti na kufanya usafi maeneo mbalimbali, huku wananchi wakitakiwa kudumisha Umoja na mshikamano kama chachu ya maendeleo ya taifa. Na Emmanuel Twimanye. Halmshauri…